Shibuda: Mimi Ni Nyambizi CHADEMA

Mtoa habari ni mwandishi wa magazeti ya shigongo GPL
 

Mada hizo wakichangia watapoteza kibarua
 
Mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.

Mwenyewe Jepesi amsema yupo Nigeria anaumwa wewe unakuja na kusema yupo simiyu upo sawa kweli wewe? Mwache apate upako wa TB Joshua zambi ya uyuda ni mbaya kama usipopata maombi unaweza ukajiua kama iskarioti alivyojiua kwa kumsaliti jesus.
 

Wewe mtu ni lazma ulishawah kufel katk masomo yako ukatae uskatae,vilaza mnajulkana tu hata jins mnavochangia huku jf ushaur wangu kwako ndugu n huu ACHA TABIA YAKO YA KUPUMULIWA KISOGON N MIDUME,tafta maisha kwa njia sahihi'
Ova
 
SHIBUDA si inasemekana familia yao ina asili ya ukichaa? Haina haja kumtilia maanani,mwehu huwa una makini naye katka kugongwa barabarani hata kwa vitu ambavyo anaweza kukudhuru navyo kama kukutupia mawe ama kukuchoma na vitu mwenye ncha kali,ila kichaa kikizidi yaani mwezi ukiwa mwandamo tutamfunga kamba tu kuepusha madhara tajwa hapo juu ikiwa ni pamoja na kutoroka. Ndiyo hayo tu,
 
Wanaogopa kumfukuza shibuda watashindwa kwenda kanda ya ziwa make yeye ndiye kaipeleka cdmmkanda ya ziwa.
Huko ccm sasa hivi kuna msemo mpya kutoka kwa msindai huyo mwenyekiti wa wenyeviti wa mikoa ccm eti
Lowasa+lowasa = Matumaini
Tafakarini hapo mtaua chama.
 
Tatizo ni kuwa mnalolijadili juu ya shibuda hamjui urefu wala upana wake ila siku zinahesabika na tutakutana hapa atakapochinjiwa baharini mchana kweupe!
 

Salaam take ni kutoonyesha nia ya kugombea uenyekiti ama uteuzi wa chama wa kugombea urais
 
Shibuda ni mwanaume wa uhakika haogopi hao mapimbi wenzake.
 
Kama wana jeuri wamguse

Hata kwa suala la zitto,mashabiki manazi kama nyie mlisema hivyo lakn alipotimuliwa mkaanza kuweweseka! hatuhangaiki na sisimizi kwa sasa CDM NI MSINGI ndio habari ya mjini na vijijini!
 
Kama wana jeuri wamguse

Hata kwa suala la zitto,mashabiki mandazi kama nyie mlisema hivyo lakn alipotimuliwa mkaanza kuweweseka! hatuhangaiki na sisimizi kwa sasa CDM NI MSINGI ndio habari ya mjini na vijijini!
 
Acha porojo CDM ipo strong lake zone kuanzia 2006-07 pale ahadi za maisha bora ziliposhindwa kutekelezwa na CCM, Shibuda kaja CDM 2010 baada ya kutaka kugombea urais akaonekana ni msaliti iweje atake kugombea wakati JK nod kamaliza miaka 5,
Tatizo hujapiga hata mswaki unaamkia JF, bado unapombe kichwani,


Wanaogopa kumfukuza shibuda watashindwa kwenda kanda ya ziwa make yeye ndiye kaipeleka cdmmkanda ya ziwa.
 
kwa hiyo mada kuhusu shibuda imeletwa na ccm ijadiliwe!mh ccm jamani.mbona ya cdm yanawapeleka puta?tulieni cdm ipo imara sana.jadiliini yenu
 
Chadema haifukuzi wanachama wa kawaida ndani ya chama bali inafukuza viongozi wasaliti.shibuda ni kama mimi hawezi kuwa msaliti kwa maana hahudhurii kikao chochote cha maamuzi ndani ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…