Shibuda: Mimi Ni Nyambizi CHADEMA

Shibuda: Mimi Ni Nyambizi CHADEMA

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,425
Reaction score
3,300
Akizungumzia fukuzafukuza ndani ya cdm Mh. Shibuda yeye amedai hawazi kuondoka cdm wala kufukuzwa hivo yeye ni kama NYAMBIZI ndani ya Chadema.
Inafahamika kuwa mienendo ya mbunge huyu wa Maswa kufanya mambo yasiyoeleweka ndani na nje ya chama ila bado hajapewa adhabu yoyote hivo kujiona sasa yeye ni Nyambizi.
Mimi najiuliza huyu bwana ni nini kimemsalimisha Shibuda kutimuliwa? Huyu bwana anataka aibue kamgogoro ili atimkie ACT.

::MWENDELEZO::

Mbunge wa CDM, Mh John Shibuda, amesema yeye ni sawa na nyambizi na kamwe hakuna wa kumtoa CDM, amedai CDM ni mali ya watanzania walio wanachama wa CDM na kamwe wanachama wa chama hicho hawatakubali chama hicho kuendeshwa kibabe na kihafidhina na viongozi wachache wanataka kuhodhi madaraka kwa nguvu.

Source: Raia Tanzania

Pole Zitto ugua pole huko ulikolazwa Nigeria.
 
Mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.
 
Wanaogopa kumfukuza shibuda watashindwa kwenda kanda ya ziwa make yeye ndiye kaipeleka cdmmkanda ya ziwa.
 
Wanaogopa kumfukuza shibuda watashindwa kwenda kanda ya ziwa make yeye ndiye kaipeleka cdmmkanda ya ziwa.

Simiyu yetu ndo shibuda. wala huna madhara, ww ni sawa na mafua tu, ila zitto wenu ni kifua kikuu.
 
Hawamuwezi Shibuda maana yeye ndiye kanda ya ziwa na anapendwa na watu wake na sio chama.
Shibuda ni kama Drogba aka nyambizi anatemeba chini ya maji.
 
Hawamuwezi Shibuda maana yeye ndiye kanda ya ziwa na anapendwa na watu wake na sio chama.
Shibuda ni kama Drogba aka nyambizi anatemeba chini ya maji.

mkuu umeshapita msalani asbh hii?? naona kama umeandika ukiwa umebanwa!
 
Mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.

Wewe ni km sindano inayowekwa uzi kwa nyuma halafu yenyewe inashona kwa mbele!
Zitto yupo Naigeria kaenda kutafuta uchawi wa kumloga Mbowe ili afe,baada ya ile mbinu ya kumuua kwa Bomu Soweto jijini Arusha kushindwa!
Bahati mbaya atakufa yeye sasa.

Mbona kwenye mada km za Kujiuzulu kwa meya wa Bukoba na za Malumbano ya Wenyeviti wa Ccm (Msindai na Msukuma) Mikoa juu ya Lowassa kutangaza nia ya kugombea Rais huwa huchangii?
 
Wanaogopa kumfukuza shibuda watashindwa kwenda kanda ya ziwa make yeye ndiye kaipeleka cdmmkanda ya ziwa.

Sometimes when you argue, argue like a grown up not an imbicile, hivi Shibuda ndo mbunge wa kwanza CDM toka kanda ya ziwa?
 
Wanaogopa kumfukuza shibuda watashindwa kwenda kanda ya ziwa make yeye ndiye kaipeleka cdmmkanda ya ziwa.

Duh...Mi ccm ina vituko...eti shibuda kaipeleka CDM kanda ya ziwa.....hahahahahahahaha...Ukiwa CCM lazima uwe na akili ya maiti
 
mkuu umeshapita msalani asbh hii?? naona kama umeandika ukiwa umebanwa!
Naona unatamaa ya kuniquote sio. Soma vizuri post yangu lasivyo nipe makosa ya post yangu. Nitakuona akili ya nzobe kama huta toa kasoro ya post yangu.
 
Shibuda anaumuhimu wake ndani ya CDM. Huyu jamaa mtasubili sana kufukuzwa lkn hata fukuzwa.PERFORMANCE yake ndani ya CDM ni kubwa mno na mchango wake ni mkubwa mno hadi sasa kwa uhai wa chama.
 
Back
Top Bottom