Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

Mpunumpunyenye

Senior Member
Dec 7, 2011
114
50
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe
 
Attachments

  • shi.jpg
    shi.jpg
    4.3 KB · Views: 3,038
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe

Akagombee uenyekiti wa kuongoza nyumba yake na mke wake
 
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe

Kila la heri SHIBUDA, nasi Kanda ya ziwa tuongoze CDM, labda kitapata mafanikio, hawa jamaa wa kaskazini siasa zimewashinda
 
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe

Mtafaruku wa uenyekiti?
Kweli CCM hamuishi kuiota CHADEMA!
Ebu kwenda kwa chama chako na kuondoa boriti jichoni!
Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post!
 
2015 rais wa Tanzania ni Shibuda. Ikulu inahamia Maswa,bunge Shinyanga. Ni zamu ya wasukuma.

Na sie wa lalago tunataka gorofa kama la benki kuu.
 
mlolongo wa waliotumwa chadema wakizani itaangamia ni pamoja na john shibuda,na vijana wake anawajua kazi yao huwa ni kuumba migogoro tu waongo wanafiki na wanachotazama ni namna gani mgogoro uwin basi
 
Shibuda si ndo alitangaza nia yake hiyo ktk Halmashauri kuu ya CCM Na akamwomba JK awe meneja wa kampeni yake? Huyu strategy zake ni kali. Binafsi naomba nafasi ya kuwa msaidizi wa JK, yaani naibu kampeni meneja wa Rais siyo mchezo. Hii timu yetu itakuwa kali.
 
Back
Top Bottom