nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe
akishinda tunamwachia chama!
Ni haki yake ya kidemo!nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe
Chagga Jazz band hawawezi kubali, Baba mkwe wa bend si alisha sema Hawezi kumuachia chama mtu FROM NO WHERE
Hapa ndio tutajuwa hiki chama cha kikanda au kitaifa!
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe
udini, ukanda mambo kama hayo mbona umeyakomalia kwa sana? Badala ya kututambulisha kama waTZ! Ukisha tutambua hivyo hutakuwa na wasiwasi kwa nini waislamu/wakristo/ wazaramo ima eneo fulan, wengi wanaipenda cdm, ccm, tlp, cuf....! Hiyo si ndio haki yao ya kidemokrasi? Wewe ni nani unaetaka kuinyanyapaa HAKI ya mtu ya kupenda/kutokupenda na kuchagua/kutochagua kwa sababu au bila hata ya sababu? aah!Hapa ndio tutajuwa hiki chama cha kikanda au kitaifa!
akishinda tunamwachia chama!
2015 rais wa Tanzania ni Shibuda. Ikulu inahamia Maswa,bunge Shinyanga. Ni zamu ya wasukuma.
Na sie wa lalago tunataka gorofa kama la benki kuu.