mkeo kakwambia eeh! nawe una roho ngumu, unatangaza hadharani! duh!Wasukuma wanamuita Zagamba wa Zagamba!
Shibuda anataka kufukuzwa CDM kwa sababu tu amechangia hoja ndani ya bunge kuhusu posho ameonyesha mawazo tofauti na akina Mbowe na kina Tundu Lissu!
Shibuda anayo haki ya kuwa na tofauti, na wanaostahili kumsakama ni wapiga kura wa Maswa. Angalia sasa Shibuda kumuudhi Mbowe tu, ubunge wake uko mashakani
Hivi unajua mpaka sasa CDM wanapokea posho Bungeni na Katibu wa bunge alisema CDM bado hawajamplekea barua ya kukakataa posho, na Tindu Lissu, alikubali kweli hawajapeleka barua, sasa ebu wewe tuambie lini CDM hakupokea posho. Lete data JF sio sehemu ya porojoSwala la POSHO ni la kisera si la mbowe wala zito - Kama hujui ni bora kukaa kimya.
Hivi unajua mpaka sasa CDM wanapokea posho Bungeni na Katibu wa bunge alisema CDM bado hawajamplekea barua ya kukakataa posho, na Tindu Lissu, alikubali kweli hawajapeleka barua, sasa ebu wewe tuambie lini CDM hakupokea posho. Lete data JF sio sehemu ya porojo
Let's be serious on this na tuache kudandia mada huku tukiwa na mtazamo wa kimapokeo na umaskini wa kufikiri. Unadhani kwa kupingana na sera za chama shibuda hata angekuwa CCM angebaki salama?CHADEMA wako sahihi kumshughulikia Shibuda na kama sababu ndiyo hii ni ujinga kuita chama cha familia.Na baada ya muda si mrefu, magwanda wataona kuwa Safari hawafai na pia wataona kuwa Lissu hawafai, wee ngoja tu. hapo ndipo watu watajua kuwa hiki ni chama cha kifamilia kwa maslahi ya wachache wanaokubaliana na mwenendo wa familia fulani fulani tu.
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.
Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com
shibuda anatafuta pa kuegema hana llote huyu.....na hawezi kukwepa kama kweli chadema wakiamua kumtosa......
lakini pia hili liwe fundisho kwa chadema...waliambiwa sanajuu ya kumpokea mamluki huyu......tena nakumbuka kiranga na Rev kishoka walikuwa mstari wa mbele lakini chadema haikusikia......hata miaka mitatu haijaisha tayari jamaa anaoneakana kupwaya
akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,arusha wapanga siri.
Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com
Mgongano wa mawazo ni kitu kinachotakiwa katika chama ili kuendelea.
Lakini tofautisha mgongano wa mawazo, na huku kukosa nidhamu kwa wazi kunakoletea mtu kukitukana chama chake kwa lugha ya kejeli zisizo chembe ya uungwana. Gonganisha mawazo kwenye vikao vya chama, sio unaonyesha kiburi cha wazi kabisa na kukifanya chama hostage.
For all we know Shibuda anaweza kuwa anazungumza na rafiki zake wa CCM kuendeleza mkakati wa kukimaliza CHADEMA kwa migogoro, kitu ambacho tulionya tangu day one.
CHADEMA hapa ilichemsha.
Na kama haikuweza kuonyesha judgement katika kum-screen huyu mercenary, essentially hii inatoa statement kwa CHADEMA kukosa judgement inayotakiwa kwa chama mbadala.
Judging from this fracas, is CHADEMA ready for prime time?