Huyu Shibuda huwa simuelewi!
We unamwelewa Lema tu?
Huyu Shibuda huwa simuelewi!
Naona umebandika picha ya bibi hope ni wewe inaonekana umezaa watoto wengi sana hadi umechanganyikiwa, ila bado unafuatilia buku saba za lumumbaAkili yako ndogo kama ya ex padri hauwezi kumuelewa.
Akichangia ktk hotuba ya wizara ya ardhi, mh John Shibuda, mbunge wa maswa kupitia CHADEMA amekisifia CCM kuwa ni chama cha maskini na wanyonge na ambacho kimelinda maslahi ya watanzania tangu uhuru.
Shibuda amemtaka waziri wa ardhi ahakikishe anatekeleza sera ya CCM ya kueatetea wanyonge kwa kuwaondoa wafanyabiashara wote wanaoishi kwenye nyumba za serikali maarufu kama quoters!!!!
Amewaita wafanyabiashara hao wanaoishi kwenye nyumba za serikali/Quoters kuwa ni wahujumu, wanyonyaji na hivyo waziri ahakikishe wanaachia nyumba hizo ili zitumiwe na watumishi wa umma ambao ni maskini.
Aidha ameitaka serikali iwauzie nyumba wafanyakazi waliokaa mda mrefu kuanzia miaka 20 kwani hawajajenga kwa kupenda bali ni kipato duni.
Ni kati ya watu ambao hawawezi kufukuzwa......."ruzuku" kwa kiswahili chepesi inaitwaje?
Kama ni mchezaji huyo ni ngasa kama ni mwaqnamke huyu ni changudoa kama ni mwana siasa huyu ni mwanasiasa malaya
Yaani nikimsikiaga huyu mtu roho inachafuka kabisa hata kula mashindwa
Shibuda kama popo haeleweki
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums