POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,402
kamanda hii nayo ni kali GLCI 2015hahahaInaitwa GUSA LOWASSA CCM IPASUKE!
kamanda hii nayo ni kali GLCI 2015hahahaInaitwa GUSA LOWASSA CCM IPASUKE!
Tokea umeajiriwa na lumumba tarehe 20/4/2013 Naona unataka uwe mfanyakazi bora hata uwapite wakina chama Ritz ZeMarcopoloNi vigumu kumwelewa lakini yeye anajua anachokiamini ila ukimsikiliza kwa makini utapata kitu ila anatumia mafumbo mengi sana na fasihi pana sana.
Tokea umeajiriwa na lumumba tarehe 20/4/2013 Naona unataka uwe mfanyakazi bora hata uwapite wakina chama Ritz ZeMarcopolo
tutaenda naye hivyohivyo tu kama gari bovu tukiona hawezi kutuathiri tutafika naye 2015 ila asahau ubunge kupitia CHADEMA labda safari hii aende NCCR au arudi kwaoCCM. CHADEMA sio size yake, tulifanya makosa kumkaribisha ila hatuna jinsi hebu twende naye hivyo hivyo kiubishi, ubishi. Tutafika!!
Jitahidi ukipata mtoto mwite lumumba kwa sababu unaonekana unamapenzi ya kweli na ccm,Tokea umeajiriwa na lumumba tarehe 20/4/2013 Naona unataka uwe mfanyakazi bora hata uwapite wakina chama Ritz ZeMarcopolo
mkuu, wala usiogope; shibuda kwa mikono yake miwili alichukua kamba na kujininginiza mwenyewe, kwa sasa ana rusharusha miguu tu; chadema hatuna haja ya kupoteza mda wetu kuhangaika na mtu kama shibuda; tumewaachia wapiga kura wake wamsurubu wenyewe ifikapo 2015.
Akichangia ktk hotuba ya wizara ya ardhi, mh John Shibuda, mbunge wa maswa kupitia CHADEMA amekisifia CCM kuwa ni chama cha maskini na wanyonge na ambacho kimelinda maslahi ya watanzania tangu uhuru.
Shibuda amemtaka waziri wa ardhi ahakikishe anatekeleza sera ya CCM ya kueatetea wanyonge kwa kuwaondoa wafanyabiashara wote wanaoishi kwenye nyumba za serikali maarufu kama quoters!!!!
Amewaita wafanyabiashara hao wanaoishi kwenye nyumba za serikali/Quoters kuwa ni wahujumu, wanyonyaji na hivyo waziri ahakikishe wanaachia nyumba hizo ili zitumiwe na watumishi wa umma ambao ni maskini.
Aidha ameitaka serikali iwauzie nyumba wafanyakazi waliokaa mda mrefu kuanzia miaka 20 kwani hawajajenga kwa kupenda bali ni kipato duni.
Mkuu Precise pangolinTokea umeajiriwa na lumumba tarehe 20/4/2013 Naona unataka uwe mfanyakazi bora hata uwapite wakina chama Ritz ZeMarcopolo
Huyu Shibuda huwa simuelewi!