jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,368
Wewe unapakatwa tu!!! Unavishwa nguo laiiiniiiiiiii, ukisinzia ukang'ang'ania unabanduliwa.Wewe umepata kiti maalum?
Hupewi kiti wala nini.
Wewe unapakatwa tu!!! Unavishwa nguo laiiiniiiiiiii, ukisinzia ukang'ang'ania unabanduliwa.Wewe umepata kiti maalum?
Ingekuwa hivyo basi asingefuta ajira na kuweka Helsb 15%Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Kwani kikwete na magufuli wanafanana?
Boss mambio kwahiyo mpaka wafanane?
Pili sijasema wanafanana. Soma msg yangu vizuri.
Mwisho unipe maana na kazi za Upinzani.
Hawafanani kwa sababu hata wewe mwenyewe unajua kila utawala unatofauti na mwingine pamoja na kuwa nchi ni ileile pia katiba ni ileile. Rejea tawala ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete zote hazikufanana hata chembe. Pia ukitaka kujua maana ya upinzani rudi kipindi cha dokta Slaa, Zito, nk sio upinzani Huu wa kupinga kila jambo.Boss mambio kwahiyo mpaka wafanane?
Pili sijasema wanafanana. Soma msg yangu vizuri.
Mwisho unipe maana na kazi za Upinzani.
Hawafanani kwa sababu hata wewe mwenyewe unajua kila utawala unatofauti na mwingine pamoja na kuwa nchi ni ileile pia katiba ni ileile. Rejea tawala ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete zote hazikufanana hata chembe. Pia ukitaka kujua maana ya upinzani rudi kipindi cha dokta Slaa, Zito, nk sio upinzani Huu wa kupinga kila jambo.
Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Chukua Kiti Maalum Bi DadaKilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Sure thats goodKilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Mna keleleAliyeshiba hamjui mwenye njaa,Magufuli hana muda huo,yeye anaifikiria CCM na Chato tu,hana mpango wowote na Tanzania ya kesho.KAMA UNATAFUTA KULA TUMIA NJIA NYINGINE,USITUMIE JINA LA TANZANIA KUSHIBISHA TUMBO LAKO.
Magufuli Hana mpango na Tanzania yoyote iwe ya Leo au ya kesho. Yeye anachojali Ni ego yake tu na ndugu zake.Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Anataka kutumia Usukuma wake kama advantage ya kupata uteuzi. Maana ameshamfahamu jamaa.Shibuda huyyhuyu?!
Nadhani anataka post ya kuteuliwa
Kuna nafasi wazi ya dc mmoja mjeda aliyejifanya kuwaletea za kibashite watu mwisho wa reli huko nao wakamua na isiwe Shida wakampiga kipapai cha kufa mtu, hadi dc akaomba poo wakamrudisha jeshini.Kuna bodi ambayo haina mkuu?