Shibuda amwagia sifa kemkem Jemadari Freeman Mbowe amesema "Mizengo Pinda ni Mpambe nuksi"

Tena Senior
Kimsingi TISS inatakiwa kuwa kila mahali maana wao wako kwa ajili ya Taifa iwe nchi iko chini ya CCM ; Chadema ; Kijeshi Au hata chini ya Jaji Mkuu .... kote huko lazima kuuwe na options in any scenario that may happen even in a worst scenario
Wana jukumu la kuhakikisha sustainability ya nchi kwenye Kila hali .... na ndio Maana unakuta wapinzani wanashinda Mfano alafu hawatangazwi Lakini ipo siku wakisharidhika na uimara wao ccm itaweza kujikuta inatoswa na system ...na ndio doctrine ya Mwalimu Nyerere “ nataka tujenge Vyama Angalau viwili mbadala ambapo chochote kinaweza kushinda urais na “tulakiamini” kitawale “
Mwalimu Nyerere alikua akivutiwa Sana na mfumo wa USA ( Democrats na Republican ) au UK ( Labour na Conservatives) Kutawala kwa zamu na ndio imekua Ndoto yake inayoishi

Ukiacha kuhumiza uhai wa ccm na kukitaka kuenda na wakati ; Mwalimu baada ya kusoma katiba za Vyama vyote Pamoja na waanzilishi wake tena wakati NCCR Ina nguvu hata Mwanaye na Jimbo la kusoma vijijini kwenda NCCR ; bado aliitabiria CHADEMA kikiwa Chama Cha Tano kwa ukubwa Wakati Huo kuja kuwa Chama kikubwa; aliwaambia ccm
“ nimeangalia vyaka vyote Lakini kati ya vyote itazameni Sana Chadema kitakuja kuwa chama kikubwa kitakachowasumbua Sana “
Pengine alivutiwa na sera zake Lakini zaidi kilianzishwa Na maafisa waandamizi serikalini waliokua na mtazamo wa Kibepari katika serikali yake na ya Mwinyi
Kwa hiyo kimsingi tunakua na Vyama viwili vikubwa CCM inayoamini sera za kulia ( rightist ) na Chadema ( leftist ) na kuna nafasi ya Chama Cha Tatu anbacho kitakua kinatumika kufanya coalitions ( mseto) Pale Vyama viwili vikubwa vinapofungana kitaweza kuunga mkono Chama kimoja wapo na kikashinda ...( ie CUF au ACT ) Vyama vingine vyote vilivyobaki Vitakua vidogo
Utabiri wa Nyerere hauko Mbali kutimiaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Siyo TISS hii ya vitoto vya kujimwambafai hata kwenye mabaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi namuona hajachanganya kabisa tena anaonesha kutokaa upande mmoja na huo ndio ukweli. TISS wanatakiwa kuwa kotekote ili usalama wa taifa uwepo la sivyo tutakuwa pabaya. Huyo Shibuda(boxer) wa Moshi Tech ni kweli alipata vetting na wao, baadae ........ kabla hata hawa General tyre, na baadae.... ndio hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipochanganya ni hapo kwenye itikadi, CCM ni leftists (sometimes far left) na CDM ni right centralists.
Na ndio maana ni rahisi zaidi kwa ACT wazalendo kufanya mseto na CCM kuliko CDM, wanafanana itikadi. Labda kama zitto anawaongopea wanachama wake.
 
Na hivyo ndivyo inavyopaswa kua, lakini kwasasa hali ni mbaya mno, TISS ya sasa imewekeza zaidi CCM, ni kama vile kuna maslahi binafsi wanayapata huko.
 
Kuna wasemao shibuda ni TISS ati

Sifa kubwa ya Tiss ni kutumika kuwatia wananchi woga kwa faida ya watawala. Ni kweli anaweza kuwa Tiss lakini hana zaidi ya hilo kuwa ni wa kwenye taasisi ya kutishia watu.
 
Na hivyo ndivyo inavyopaswa kua, lakini kwasasa hali ni mbaya mno, TISS ya sasa imewekeza zaidi CCM, ni kama vile kuna maslahi binafsi wanayapata huko.

Kinachochangia Tiss kuwekeza zaidi ccm ni kwakuwa katiba inampa rais madaraka makubwa ya kikatiba kuwa juu ya sheria na uwezo wa kumchagua DG wa Tiss. Hivyo kwa vyovyote DG wa Tiss atapewa mtu wa ndio mzee ili afanye kazi yake kwa upendeleo wa kiitikadi. Udhaifu huo wa Tiss ndio umepelekea hivi sasa watumishi wa umma wanaopaswa kuwa neutral kujisifia uccm hadharani bila woga, kitu ambacho ni kinyume kabisa cha maadili ya kazi.
 
Tena Senior
Kimsingi TISS inatakiwa kuwa kila mahali maana wao wako kwa ajili ya Taifa iwe nchi iko chini ya CCM ; Chadema ; Kijeshi Au hata chini ya Jaji Mkuu .... kote huko lazima kuuwe na options in any scenario that may happen even in a worst scenario
Wana jukumu la kuhakikisha sustainability ya nchi kwenye Kila hali .... na ndio Maana unakuta wapinzani wanashinda Mfano alafu hawatangazwi Lakini ipo siku wakisharidhika na uimara wao ccm itaweza kujikuta inatoswa na system ...na ndio doctrine ya Mwalimu Nyerere “ nataka tujenge Vyama Angalau viwili mbadala ambapo chochote kinaweza kushinda urais na “tulakiamini” kitawale “
Mwalimu Nyerere alikua akivutiwa Sana na mfumo wa USA ( Democrats na Republican ) au UK ( Labour na Conservatives) Kutawala kwa zamu na ndio imekua Ndoto yake inayoishi

Ukiacha kuhumiza uhai wa ccm na kukitaka kuenda na wakati ; Mwalimu baada ya kusoma katiba za Vyama vyote Pamoja na waanzilishi wake tena wakati NCCR Ina nguvu hata Mwanaye na Jimbo la kusoma vijijini kwenda NCCR ; bado aliitabiria CHADEMA kikiwa Chama Cha Tano kwa ukubwa Wakati Huo kuja kuwa Chama kikubwa; aliwaambia ccm
“ nimeangalia vyaka vyote Lakini kati ya vyote itazameni Sana Chadema kitakuja kuwa chama kikubwa kitakachowasumbua Sana “
Pengine alivutiwa na sera zake Lakini zaidi kilianzishwa Na maafisa waandamizi serikalini waliokua na mtazamo wa Kibepari katika serikali yake na ya Mwinyi
Kwa hiyo kimsingi tunakua na Vyama viwili vikubwa CCM inayoamini sera za kulia ( rightist ) na Chadema ( leftist ) na kuna nafasi ya Chama Cha Tatu anbacho kitakua kinatumika kufanya coalitions ( mseto) Pale Vyama viwili vikubwa vinapofungana kitaweza kuunga mkono Chama kimoja wapo na kikashinda ...( ie CUF au ACT ) Vyama vingine vyote vilivyobaki Vitakua vidogo
Utabiri wa Nyerere hauko Mbali kutimiaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakika uko na kumbukumbu saaafi sana mkuu, bado ninayo hii cd ya baba wa Taifa.
Ipo siku tu mambo yatakaa sawa na watanzania tutaheshimia na ujinga wa mbele kwa mbele utaisha.
 
Hao wote ni majasusi wanatumikia Taifa kwa njia tofauti
Binadamu wote ni majasusi...
Kuanzia wewe mwenyewe...
Mwenzi wako...
Kiongozi wako wa kiimani...
Wazazi wako...
Walimu/Wakufunzi wako...
Staff wenzako...
Yule unayenunua kwake...
Yaani nielewe...
Kila mtu ni jasusi...
 
Tena Senior
Kimsingi TISS inatakiwa kuwa kila mahali maana wao wako kwa ajili ya Taifa iwe nchi iko chini ya CCM ; Chadema ; Kijeshi Au hata chini ya Jaji Mkuu .... kote huko lazima kuuwe na options in any scenario that may happen even in a worst scenario
Wana jukumu la kuhakikisha sustainability ya nchi kwenye Kila hali .... na ndio Maana unakuta wapinzani wanashinda Mfano alafu hawatangazwi Lakini ipo siku wakisharidhika na uimara wao ccm itaweza kujikuta inatoswa na system ...na ndio doctrine ya Mwalimu Nyerere “ nataka tujenge Vyama Angalau viwili mbadala ambapo chochote kinaweza kushinda urais na “tulakiamini” kitawale “
Mwalimu Nyerere alikua akivutiwa Sana na mfumo wa USA ( Democrats na Republican ) au UK ( Labour na Conservatives) Kutawala kwa zamu na ndio imekua Ndoto yake inayoishi

Ukiacha kuhumiza uhai wa ccm na kukitaka kuenda na wakati ; Mwalimu baada ya kusoma katiba za Vyama vyote Pamoja na waanzilishi wake tena wakati NCCR Ina nguvu hata Mwanaye na Jimbo la kusoma vijijini kwenda NCCR ; bado aliitabiria CHADEMA kikiwa Chama Cha Tano kwa ukubwa Wakati Huo kuja kuwa Chama kikubwa; aliwaambia ccm
“ nimeangalia vyaka vyote Lakini kati ya vyote itazameni Sana Chadema kitakuja kuwa chama kikubwa kitakachowasumbua Sana “
Pengine alivutiwa na sera zake Lakini zaidi kilianzishwa Na maafisa waandamizi serikalini waliokua na mtazamo wa Kibepari katika serikali yake na ya Mwinyi
Kwa hiyo kimsingi tunakua na Vyama viwili vikubwa CCM inayoamini sera za kulia ( rightist ) na Chadema ( leftist ) na kuna nafasi ya Chama Cha Tatu anbacho kitakua kinatumika kufanya coalitions ( mseto) Pale Vyama viwili vikubwa vinapofungana kitaweza kuunga mkono Chama kimoja wapo na kikashinda ...( ie CUF au ACT ) Vyama vingine vyote vilivyobaki Vitakua vidogo
Utabiri wa Nyerere hauko Mbali kutimiaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi nazani kati ya vyama vitatu ambavyo mwalimu alitaka basi tunachama kimoja tu. Chadema na cuf + Act hakuna vyama , waunde vyama vipya.
 
Mi namuona hajachanganya kabisa tena anaonesha kutokaa upande mmoja na huo ndio ukweli. TISS wanatakiwa kuwa kotekote ili usalama wa taifa uwepo la sivyo tutakuwa pabaya. Huyo Shibuda(boxer) wa Moshi Tech ni kweli alipata vetting na wao, baadae ........ kabla hata hawa General tyre, na baadae.... ndio hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua hukunielewa.
 
Alipochanganya ni hapo kwenye itikadi, CCM ni leftists (sometimes far left) na CDM ni right centralists.
Na ndio maana ni rahisi zaidi kwa ACT wazalendo kufanya mseto na CCM kuliko CDM, wanafanana itikadi. Labda kama zitto anawaongopea wanachama wake.

Left-wing politics supports social equality and egalitarianism, often in opposition to social hierarchy.[1][2][3][4] It typically involves a concern for those in society whom its adherents perceive as disadvantaged relative to others as well as a belief that there are unjustified inequalities that need to be reduced or abolished.

Right-wing politics holds that certain social orders and hierarchies are inevitable, natural, normal, or desirable,[1][2][3] typically supporting this position on the basis of natural law, economics, or tradition.[4]:p. 693, 721[5][6][7][8][9] Hierarchy and inequality may be viewed as natural results of traditional social differences[10][11] or the competition in market economies.[12][13] The term right-wing can generally refer to "the conservative or reactionary section of a political party or system".[14]

In politics, centrism—the centre (British/Canadian/New Zealand/Australian English) or the center (American English)—is a political outlook or specific position that involves acceptance or support of a balance of a degree of social equality and a degree of social hierarchy, while opposing political changes which would result in a significant shift of society strongly to either the left or the right.[1]
IMG_9824.JPG
 
Mi nazani kati ya vyama vitatu ambavyo mwalimu alitaka basi tunachama kimoja tu. Chadema na cuf + Act hakuna vyama , waunde vyama vipya.

Lakini ni huyo huyo Mwalimu aliyesema “nimepitia Vyama vyote na Kusoma katiba na sera zao ; Naona Chama kitakachokuja kuisumbua ccm ni Chadema “

Lakini pia Mwalimu aliona dhana ya upinzani kutoka ndani ya ccm ... Na tumeona mara zote ambazo ccm imemeguka uchaguzi imekua na ishindani Mfano mwaka 1995 na mwaka 2015 ; tatizo pekeee ni kuuwa mara zote wana ccm wanaohamia upinzani kwa kutofautiana na ccm hawajazoea maisha magumu ya kukaaa juani kwenye upinzani hivyo wakitangaziwa njaaa kidogo tu wananyoosha mikono

Huwezi kukataaa nguvu ya CUF au ACT au Chama chochote Cha upinzani kitakachoungwa mkono zanzibar ...kuwa moja ya Chama Chenye nguvu nchini ...
 
Back
Top Bottom