Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA


Kwani CHADEMA msukuma ni yeye tu....Sheikh Makani yupo muda mrefu...hoja yako dhaifu sana
 

Collective responsibility????????? Mbona tunakuwa wasahaulivu kwa kipindi kidogo? Mtindo huu sio tuliokuwa na hadi sasa tunaupigia vita kwa wabunge wa CCM? Kwa CDM ni halali bali kwa CCM ni haramu?
 

CDM haina ubavu wa kufanya hivyo kwa Shibuda au mbunge mwengine wa kuchaguliwa hasa kwa ishu hii ya POSHO.
 
shibuda ni gamba lililopotea njia likajikuta cdm ... Lioneshwe mlango wa kutokea tulipotezee mbaliiii

Kwani hao wengine hawakuwahi kuwa Magamba? Unaona hata mambo yao hayatafautiani sana.
 
Mimi namwopnea huruma kwasababu tumesha anza mikakati ya kumtoa uanachama, hatuwezi kukaa na mtu asiye na mawazo chanya kwa watanzania
 
lakini ni maoni yake kama mmeishagundua ni kichaa muacheni tu
 
Wewe ni mgonjwa wa akili kama Shibuda!!
Tatizo Pro-CDM-JF, wengi wao ni Brain Fag! Jaribuni kubadirika sio kila jambo atakalosema Mbowe wote mnakubali tu lazima muwe Breadth, huu ni ushauri nawapa nyie Pro-CDM
 
daka kohozi langu katupe njee nipo bize tafadhali
 
Mimi namwopnea huruma kwasababu tumesha anza mikakati ya kumtoa uanachama, hatuwezi kukaa na mtu asiye na mawazo chanya kwa watanzania

Fanyeni hivyo lakini CCM watakusaidieni kumwacha ndani ya Bunge ili Kambi rasmi isiharibike.
 

This is a keen observation.
CDM inabidi ijitazame hasa ofisi ya Katibu Mkuu wake kama maamuzi yote yanayotolewa yanaendana na ilani yenu au msimamo endelevu.
It takes kichaa mmoja mwenye guts to call your bluff.
Lema amefanya hivyo Arusha, na sasa Shibuda ana point hapo.
Ilishasemwa mara nyingi kuwa chama cha upinzani haina maana unapinga kila kitu, wakati mwingine lazima kuelewa kuwa politics also means finding some common ground and accommodation without giving away your basic principles.
It will be interesting kuona ni vipi uongozi wa CDM utajinasua katika matatizo haya ambayo si rahisi kuyarushia "magamba" kuwa ndio kiini.
 
Na atajuta kuhamia chadema lazima ajue chadema ina serikali yake na bara za la mawaziri kama yeye ayupo ndio alete ujinga akapeleke serikali ya ccm ..kwanza halmasha mnachelewa sana mpeni ban maisha huyu asikie kwenye redio kuna bunge la jamhuri ya chadema 2015
 
kilanga pamoja na rev kishoka waliwaasa viongozi wa chadema juu ya kuja kwa huyu jamaa........hawakusikia...walipiga sana kelele....dada kilanga ndo kabisaa aliongea kweli...hawakumsikiliza......hahahah


Walikuwa hawana mtaji hivyo walilazimika kumkubali wakijuwa kuwa yeye ni mtaji.
 
daka kohozi langu katupe njee nipo bize tafadhali
Dada yangu Marytina najua wewe mmoja kati ya kina dada wa (Bawacha) ulikuwa mtu muhimu sana kwenda Ujerumani kujifunza Maadili ya Kikiristo chini ya chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU, ungerudi Tanzania umeshiba Maadili
 
Mimi namwopnea huruma kwasababu tumesha anza mikakati ya kumtoa uanachama, hatuwezi kukaa na mtu asiye na mawazo chanya kwa watanzania
 
Kwani Katiba inasemaje juu ya wabunge wa upendeleo pale unapopunguza wabunge wa kuchaguliwa? Mnafikiri Shibuda hana akili?

Kama sijakosea, huwa idadi inakalkyuletiwa kutokana na kura za urais, na Mbunge akishaapishwa ni mpaka muda uishe au atemwe na chama chake au umauti umkute.

Hi inamaana kama Shibuda akitimuliwa, hakuna kitachobadilika kwenye Wabunge wa Upendeleo wala Ruzuku.

Vile vile, akitimuliwa itatoa fursa kwa CDM wengine kujaza hicho kiti.
 
ritz anafanana na avatar yake.
ila anapaswa kujua kinachohojiwa si ukabilla ila ni matumizi yasiyo ya lazima ya serikari.
Wabunge wanalipwa mara mbili kwa kazi moja.
Shibuda ni mwehu kabisa ila tu anavaa nguo.
 
Hapana mkuu, tatizo ni Shibuda, mbona professa Kahigi alikuwa ccm, na ameingia CDM kashinda ubunge na hata kama anatofauti na chama haropoki hadharani kama huyu shibuda?
 
Huyu shibuda akifutwa uanachama litakuwa fundisho kwa wengine....anachofanya Shibuda ni kupingana na ilani ya chama,huu ni sawa na uhaini kwa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…