Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

S-ibuda ni mwanasiasa Mshamba,limbukeni na hana Dira ya siasa hata chembe ya haradali.Kwa ufupi katika mwanasiasa naemchukia wakwanza ni hili lijibaba.
 
Sijaona kibaya alichosema Shibuda. Tumegubikwa na tabia mbaya ya hisia zetu kwa aliyesema maneno badala ya kuyaangalia maneno yaliyosemwa.

Mkuu kamanda habari za hapo Mbeya? Vipi ww na yle dada yenu bado tu mna hasira na Heche?
 
Please CHADEMA,remove this man from your party,he is of no help.I think this man was planted so as to bring confusion in the party,but unfortunately he has come to understand that,the job he was given is bigger than what he could chew!.

Sure, he is! Muhimu asipewe madaraka atawavuruga
 
Hivi katika majimbo yote wanayojisifia cdm sijui 28 waliotoa wabunge na lile la Kamanda Shibuda wanalihesabu? Sipati picha M4C ikipita pande hizo za maswa huku zikiwa engineered na Kamanda Shibuda na akina Heche.
 
kwa mtu mwenye akili hawezi kumtukana shibuda mana huongea kwa akili kubwa sana,huw hamtaji mtu,maneno yake yamejaa busara na utani,usipokuwa makini kama una jazba lazima ulie.
Wewe unayejiita "Rais wa tano" ndo Shibuda?Maana hata ccm alijiondoa kwa kunyimwa kugombea urais aliposema atapambana na JK na wakati akijuwa magamba wenzake hawatampinga JK kugombea mara ya pili,tamaa bin tamaa.
 
Hivi chadomo mmelogwa, mkiambiwa ukweli mnatoka povu ile mbaya. Keepitup shibuda.
 
Hahahaha kitu cha bara kilicholewea Pwani...full mipasho!
 
Nimesoma na kurudia rudia hiyo habari,sijaona baya alilosema Shibuda kiasi cha kushambuliwa namna hii!
 

Chadema ni chama kampuni maslahi binafsi ndio maana kina wakurugezi pale makao makuu wakati vyama maslahi umma vina makatibu makao makuu yao.
 
A political prostitute at work, thinking through his big belly!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…