SHIBE YA FUTARI

Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
3,483
12,091
9285703d38fb37dc0cd670801b2a7002.jpg
 
Hii mijamaa inakula sana kipindi hiki.
Hakuna maana ya kufunga asee!
 
Huu mwezi watu wanakula sana kuliko siku za kawaida, jamaa kapiga misosi na juisi ya ukwaju mpaka kafleti.
 
Hahahahahahahaaaa
Siku zote huwa wanasema kikulacho ki nguoni mwakoo. Huyo mtu wa kwanza kumpiga picha lazima atakuwa anahusiana na huyo jamaa aliyelala hapo ikisemekana kwa shibe ya futari. .... ila maungo yake ya ndani yameonekana kitu ambacho si vizuri mwenyewe akiiona mitandaoni humu.

Yawezekana aliyempiga alitaka kuwashirikisha familia yao kama mjuavyo siku hizi magrupu ya wasap yako ya ndugu pia..... sasa hapo ndo shida huanza.... mmoja wa wanandugu anaweza mtumia mmewe au mkewe kama kichekesho akijua itabaki ndani ya familia, naye mume au mke atamtumia kaka yake akimuonesha shemeji yake aliyevimbirwa..... yule naye atamforwadia mfanyakazi mwenzie kuja kuhamaki picha ile inamrudia mwenye picha na ndo atajiuliza nani alinipiga hii picha na jee.... imeonwa na wangapi. ....

Unaweza kuta baba wa watu akashindwa hata kuendelea kufunga kama ni mtu anayefatilia ishu ndogo ndogo.

Haya iftar njema jirani zangu.

Kasie.
 
You have said it all Kasie.
 
Kuna mama mmoja alijiselfie akiwa chumbani, ilikuwa ni picha ya kawaida siyo yenye sitara lakini nyuma ya ile picha kulionekana vyupi kwenye anger, akaipost fb bila kuihakiki. Bahati nzuri akaina rafiki yake aakampigia na kumwambia "umependeza lakini picha umeiangalia vizuri"? Baada ya kuziona zile kyupi akaifuta.
 
Soo bad............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom