Shibe mwana malevya

Hivi huyu jamaa akishameza mzigo mzito kama huo anakua na ubavu wa kupanda kwenye mti kweli? Au alifuata chakula hukohuko juu akamaliza biashara yote juu kwa juuu?
Sijui hata kafikaje kule aisee
 
Hivi huyu jamaa akishameza mzigo mzito kama huo anakua na ubavu wa kupanda kwenye mti kweli? Au alifuata chakula hukohuko juu akamaliza biashara yote juu kwa juuu?
Bila shaka huyu ni chatu. Je, chatu hupanda miti umbali huu? Kama alifuata mawindo. Je, ni windo gani hilo linaweza patikana juu ya mti?
 
Akiona hatari anatoa msosi wote/regurgitate na kuanzisha varangati.
 
Bila shaka huyu ni chatu. Je, chatu hupanda miti umbali huu? Kama alifuata mawindo. Je, ni windo gani hilo linaweza patikana juu ya mti?
Chatu kupanda juu ya mti na akiwa ameshiba kiasi hicho sio ajabu kwa sababu chatu ananguvu nyingi sana.

Pili chatu akisha meza kitu lazima atafute sehemu yenye utulivu na anaweza kukaa eneo hilo mpaka mwezi mmoja hadi ahakikishe ulivyo meza vyote vimeyeyuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…