Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,181
Reaction score
6,214
Moderator kusema kuna falme nyingi za shetani ndo mnafuta uzi kwelii?????
Mbona hii forum imekua ya ajabu sana serious Moderator uzi unaosema kuna tawala nyingi za shetani sijatuhumu mtu au kikundi cha watu wowote unafuta uzi aisee nimeshangaa sana
unajua hii nchi ni ya ajabu sana kwanini hadi kufikiri tunawekeana mipaka


Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2020 na kuna nyuzi nyingi ambazo niliziandaa
  1. Kutengeneza artifical ozone layer
  2. Kupredict protein mutation
  3. Njia za kutengeneza dawa zinazouzwa pharmacy
  4. Black inatengeneza sayari mpya
  5. Solar system ina-sayari nne
  6. MPANGO WA KUWA RAIS WA TANZANIA
  7. Na nyingine nyingi ambazo zipo huku na moderator wamezifuta kwa sababu wanazozijua wao

Haya niliyoandika ni machache sana yako mengi ambayo nikiyasema yataleta taharuki nimetumia lugha rahisi na kila mtu aelewe
👇👇👇👇👇
Moja ya mambo ambayo unatakiwa kujua ni kwamba kuna ulimwengu wa mashetani na wana-kingdom (tawala) zao zenye mipaka kama zilivyo nchi duniani kuna kenya, Tanzania, Iraq n.k

Kwenye falme za mashetani kuna utawala wa shètani ambao unanguvu sana na kuna tawala za shetani ambazo hazina nguvu sana

Ukitaka uamini nachosema uchawi wa Tanga ni tofauti na wa India au wa China hii tofauti inatoka na ukweli kwamba kila shetani anapokupa uchawi hauwezi kuwa sawa na uchawi wa shetani mwingine anaufanya kuwa wakipekee

Mfano unavyosikia freemason ni aina moja wapo ya tawala za kishetani kati ya maelfu za mashetani ambazo zipo na wanapigana vita usiku na mchana kuweza kuwa na nguvu za kiutawala

 
Back
Top Bottom