Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,181
- 6,214
Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022
(Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki) mfano au baadhi ya mambo ambayo niliyaandika mwaka 2022 na nimesha-share huku ni kama yafuatayo;-
Hii mada sikutaka kushare ila kuna kitu kimenishkuma nishee
Moja ya mambo ambayo unatakiwa kujua ni kwamba kuna ulimwengu wa mashetani na wana-kingdom (tawala) zao zenye mipaka kama zilivyo nchi duniani kuna kenya, Tanzania, Iraq n.k
Kwenye falme za mashetani kuna utawala wa shètani ambao unanguvu sana na kuna tawala za shetani ambazo hazina nguvu sana kuna mda tawala flani inatawala baada ya mda unaangushwa chini anatawala shetani mwingine
Ukitaka uamini nachosema uchawi wa Tanga ni tofauti na wa India au wa China hii tofauti inatoka na ukweli kwamba kila shetani anapokupa uchawi hauwezi kuwa sawa na uchawi wa shetani mwingine anaufanya kuwa wakipekee
Mfano unavyosikia freemason ni aina moja wapo ya tawala za kishetani kati ya maelfu za mashetani ambazo zipo na wanapigana vita usiku na mchana kuweza kuwa na nguvu za kiutawala
www.jamiiforums.com
(Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki) mfano au baadhi ya mambo ambayo niliyaandika mwaka 2022 na nimesha-share huku ni kama yafuatayo;-
- Artificial ozone layer
- Namna ya kutengeneza dawa
- Jupiter na Saturn sio sayari ni nyota
- Bluetooth itakavyoweza kufacilitate mawasiliano baina ya sayari na sayari
- Motor ina-speed zaidi ya mwanga
- Blackholes inavyoweza kutengeneza sayari
- Smelter na refining
- MPANGO WA KUWA RAIS WA TANZANIA
- Na mengine mengi ntashare huku
Hii mada sikutaka kushare ila kuna kitu kimenishkuma nishee
Moja ya mambo ambayo unatakiwa kujua ni kwamba kuna ulimwengu wa mashetani na wana-kingdom (tawala) zao zenye mipaka kama zilivyo nchi duniani kuna kenya, Tanzania, Iraq n.k
Kwenye falme za mashetani kuna utawala wa shètani ambao unanguvu sana na kuna tawala za shetani ambazo hazina nguvu sana kuna mda tawala flani inatawala baada ya mda unaangushwa chini anatawala shetani mwingine
Ukitaka uamini nachosema uchawi wa Tanga ni tofauti na wa India au wa China hii tofauti inatoka na ukweli kwamba kila shetani anapokupa uchawi hauwezi kuwa sawa na uchawi wa shetani mwingine anaufanya kuwa wakipekee
Mfano unavyosikia freemason ni aina moja wapo ya tawala za kishetani kati ya maelfu za mashetani ambazo zipo na wanapigana vita usiku na mchana kuweza kuwa na nguvu za kiutawala
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...