Kwa nini unamchukia shetani?

Kwa nini unamchukia shetani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,554
Reaction score
110,071
Kwa nini unamchukia shetani?

Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie?
 
Kwa nini unamchukia shetani ?

Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie ?
Kwanini unipangie kipi cha kupenda au kuchukia?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hakuna mambo ya shetani wala nini ..... hizi ni illusions za wanadamu tu ........
 
Wanamchukia kwa maneno tu kwa vitendo anapendwa sana na watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom