'Shetani' Mtanashati na amri kuu 10

mkuu, hujapata ile ya hamshari
 
Mkuu Asante nilikuwa nje ya ukumbi nikasikia jinalo likitajwa kwenye ukumbi wa views za youtube nikasema haya siyo makazi ya askari hakai mikono mitupu askari hubeba siraha askari hukaa mwituni nikasema Ngoja nifata nyayo maana imeandikwa aachaye Kweli huirudia nami akabidi nirudi kwenye misingi imara ya vionjo na midundo halisi lakini siyo ya Duke kweli nikakuta MALENGA hukufanya ajizi umesherehesha hadhira bila choyo Asante mkuu
 
Nimejitahidi kusoma lakini nimeshindwa.Nimeishia kucheka mno kutokana na visa vya huyu mtabe.
Nitarudia baadae kusoma upya.
Hili neno mtabe sijui wewe ndiye yule mtabe mwenyewe au wewe ni mwenyeji wa kanda ya ziwa mkuu
 
Hahahaha!! Shukrani sana Mkuu wambura marwa
 
wapi carlos "the jacker".... mkuu the bold......huyo mtu nae alitamba sana kwenye dunia ya wahalifu......ukipata nafasi tuletee uzi unaomuhusu...
 
Douh...!!! Kuna watu ni hatari.
Kwa kweli kisa hiki pia kimedhihirisha udhaifu wa mwanaume kwa mwanamke na ukosefu wa uvumilivu kwa mwanamke.

Huyo she kwa kumegwa mtumishi tuu kaamua kumchoma jamaa.. Kasahau mapenzi yote.
Kwanini usimtimue tuu huyo mtumishi?

Shukra the Bold
 
wapi carlos "the jacker".... mkuu the bold......huyo mtu nae alitamba sana kwenye dunia ya wahalifu......ukipata nafasi tuletee uzi unaomuhusu...
Nafanyia kazi Mkuu! Huyo jamaa nikishusha makala yake inatakiwa iwe imeshiba haswaaaa..
Sijasahau Mkuu..
 
Akili zetu zote, na ujanja wetu wote ila kwa hawa viumbe hatuna ujanja.!!
Mungu amewajalia uwezo wa 'kututeka' akili sio kidogo.. Unaweza kujiona bonge la mjanja ila siku unakuja kunasa kwa mtoto mzuri unachanganyikiwa mpaka unajihisi labda sio wewe hahahahaha..

Shukrani kwa pongezi Mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…