'Shetani' Mtanashati na amri kuu 10

Mimi niliikubali ile ya utoka makao makuu ya CIA Langley ya bw. Osama kwakweli nimeicopy na kupaste pahala
 
Nimecheka sana hasa huyo jamaa wa mnara anaitwa 'sumu' ila mi naona huyu jamaa Lusting anazidiwa na hawa Wanasiasa wetu, maana pamoja na kututapeli kila baada ya miaka 5 bado tunawakubali tu, tumekuwa kama Al Capone!
 
Watanzania tunatapeliwa na viongozi wetu wenyewe
 
Nimecheka sana hasa huyo jamaa wa mnara anaitwa 'sumu' ila mi naona huyu jamaa Lusting anazidiwa na hawa Wanasiasa wetu, maana pamoja na kututapeli kila baada ya miaka 5 bado tunawakubali tu, tumekuwa kama Al Capone!
Hahahah! Good point, angalia watu wanavyolalamika sasa hivi.. Lakini ikifika 2020 wanafanya tena maamuzi yale yale
 
Mkuu The bold Salute sana nimetakasika vilivyo Niseme tena Asante kwa kunipa chakula akili inapeneaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…