Tetesi: Shetani hana Rafiki: Vunjabei apingwa Ismani

Tetesi: Shetani hana Rafiki: Vunjabei apingwa Ismani

Vunjabei anatumia nguvu kubwa sana kushinikiza apitishwe kinguvu na wengine wanadiriki kusema CCM isipomtisha CCM itashindwa.

CCM haiwezi kushindwa kipindi hiki kwa nguvu kubwa iliyonayo, ni kubwa mno mpaka inatisha.

Historia ya CCM ni muujiza unaoishi na kama ingekuwa kufa ingetakiwa kuwa 2015 Lowassa alipokatwa kwa sababu kuu mbili

1. 2015 CCM haikujiandaa kuondoka kwa Lowassa kwenda upinzani na kitendo hiko Cha ghafla kiliweza kustahilika na CCM kushinda

2. CCM imefanya mabadiliko mengi katika ya kuondoa ukuu wa mtu na kujenga ukuu wa Chama na hivyo kufanya wanachama wote waone hakuna nafasi nyingine nje ya CCM.

Hizo sababu ndizo zimeweza kuimarisha CCM hivi ilivyo Leo, CCM sasa kimejiandaa kwa yeyote kukihama Chama na Bado kikawa na uhakika wa ushindi ndio maana Leo CCM hakihofii kuchukua aliyekuwa wa mwisho kura za maoni.
kwani ccm inashindana na nani
 
Mara zote huwa sihangaiki na masuala ya CCM, lakini linapokuja jambo la kuparurana, kulogana na kuuana huwa nafurahia

Pamoja na kushinda kinachoitwa kura za maoni huko Isman wazito wa CCM wanamkataa

Sababu ya kwanza Bwana Fred anaitwa "Mhuni" anayetajwa kuingia CCM ili kutafuta koneksheni tu, anadaiwa hujui hata ukurasa Mmoja wa katiba ya CCM, wanasema amekuja kujificha ili makandokando yake yalindwe

Sababu nyingine inasemwa kwamba kwa vile Kaka yake ni Mbunge wa Iringa Mjini haiwezekani yeye apewe Ismani, kwamba Majimbo ya Iringa yatakuwa ya ukoo, na kwamba linaweza kutokea jimbo lingine kuwa wazi wakamleta Dada yao agombee

Kwa Taarifa hii Tajiri Vunjabei ngoma bado mbichi, vikao vya juu vyaweza kumfyeka
Haters!
 
Kila anayeingia kwenye siasa lengo lake ni kujinufaisha mwenyewe kwanza, kwa namna yeyote ile, iwe CCM au CDM.
 
Taarifa zingine zinaeleza kwamba yuko anayeitwa Kiswaga ambaye ni Mwanamtandao ndiye anapigiwa chapuo

CCM huwa hawasikilizi Wananchi. Kila kitu kinafanywa kwa ajili ya maslahi ya walio madarakani. Kwa sasa Maza yuko busy anamuandalia njia mtu wake atakayemlinda akitoka.

Mkapa hakufanikiwa, Kikwete hakuweza, Magu wote tunajua kilichompata... sijui kama Maza ataweza. Kwa hali ilivyo sasa atakuwa anataka kumuachia Mwinyi kijiti.
 
Sababu nyingine inasemwa kwamba kwa vile Kaka yake ni Mbunge wa Iringa Mjini haiwezekani yeye apewe Ismani, kwamba Majimbo ya Iringa yatakuwa ya ukoo, na kwamba linaweza kutokea jimbo lingine kuwa wazi wakamleta Dada yao agombee
Hii sio sababu valid ya kumkata, Bungeni kuna mtu na mkewe, baba, mwana na mkwe, hivyo hakuna ubaya wowote mtu na kaka mtu kuwepo bungeni, tena Iringa kuna wakati kulikuwa na kaka mtu na dada mtu bungeni!
Kwa Taarifa hii Tajiri Vunjabei ngoma bado mbichi, vikao vya juu vyaweza kumfyeka
Wakimfyeka bilionea, nitawashangaa sana!, kwa siasa za kisasa, pesa ndio kila kitu.

P
 
Ongezea kuwa Kwa siasa za ccm. Na Kwa taarifa yako kama hujui pesa kwenye siasa hasa za Tanzania sio kitu chochote ikiwa Kuna fair ground specifically tume ikiendesha uchaguz Kwa weledi Mfano: 2010 Wenje alimshinda Masha aliyekuwa waziri huku akiwa kapuku,kule kwetu meatu 2010 Meshack opulukwa alimshinda Tycoon Hamis Mbuzi(aka Jambo) na alikuwa kapuku, 2010 Mzee kasulumbai alimshinda Mwarabu Stanislaus Muongo aliyekuwa anafadhiriwa na wajomba zake Oman. Sasa Mayala unaposema pesa ndio jambo la maana kwenye siasa labda huko kwenu na kama unaamini hivyo ccm msiogope uchaguzi si mnapesa wekeni levelled ground kisha mpambane na chadema ambao hawana hela halafu nyie mtumie hela, nakwambia Kanda ya ziwa pekee acha Kanda nyingine mkipata majimbo saba nyie ni wanaume, narudia mkipata majimbo saba Kanda ya ziwa nyie ni wanaume.
 
Vunjabei anatumia nguvu kubwa sana kushinikiza apitishwe kinguvu na wengine wanadiriki kusema CCM isipomtisha CCM itashindwa.

CCM haiwezi kushindwa kipindi hiki kwa nguvu kubwa iliyonayo, ni kubwa mno mpaka inatisha.

Historia ya CCM ni muujiza unaoishi na kama ingekuwa kufa ingetakiwa kuwa 2015 Lowassa alipokatwa kwa sababu kuu mbili

1. 2015 CCM haikujiandaa kuondoka kwa Lowassa kwenda upinzani na kitendo hiko Cha ghafla kiliweza kustahilika na CCM kushinda

2. CCM imefanya mabadiliko mengi katika ya kuondoa ukuu wa mtu na kujenga ukuu wa Chama na hivyo kufanya wanachama wote waone hakuna nafasi nyingine nje ya CCM.

Hizo sababu ndizo zimeweza kuimarisha CCM hivi ilivyo Leo, CCM sasa kimejiandaa kwa yeyote kukihama Chama na Bado kikawa na uhakika wa ushindi ndio maana Leo CCM hakihofii kuchukua aliyekuwa wa mwisho kura za maoni.
Ccm inaukuu gani ukiondoa wizi wa kura na kuuwa watu? Ccm imeimarika Kwa kuuwa watu tofauti na miaka ya 2015 kurudi nyuma hasa kipindi Cha uchaguzi ndio maana dawa yenu Kwa sasa jino kwa jino maana hata nyinyi ni watu na mnatoa damu na kufa so dawa yenu ni kuwaendea Kwa utaratibu wa October na hakuna njia nyingine na Kwa taarifa yenu ikifika 2030 bila katiba mpya na maboresho ya Sheria za uchaguzi labda kusiwe na uchaguz tofauti na hapo wasimamizi wote wa uchaguzi watajuta pamoja na majengo ya vituo Hilo mlijue mapema na si vinginevyo.
 
CCM sio kama CHADEMA ambapo mtu akihamia leo kesho anakuwa mjumbe wa kamati kuu. CCM ni kubwa kuliko mtu ndo maana hata uwe maarufu na mwenye hela kiasi gani kamati kuu inaweza kukata jina lako.
Kwamba Marwa rioba(chadema)kule Serengeti, mtulia(cuf) kule kinondoni, mwambe(chadema) kule ndanda walipohamia ccm umesahau kuwa uchaguzi wa marudio walipitishwa au Kwa kuwa akili zenu wanaccm ni kama za kunguni mmeshasahau? Kwanin hukupelekwa hata wewe kugombea wakapelekwa wageni ndani ya muda mfupi? Mtazeekea jf Kwa ujinga wenu huku wahamiaji wakila shavu wafuasi wa wauwaji na mafisadi nyie.
 
Jua tofauti ya mjumbe wa kamati kuu na mgombea ubunge. Ulishawahi ona mhamiaji akiwa mjumbe wa kamati kuu kama ilivyokuwa kwa Lowassa na Sumaye walipohamia CHADEMA? CCM ina principles zake. Halafu kuhusu mimi kugombea uongozi ndani ya chama haijawahi kuwa kitu ninachofikiria. Kwenye familia yetu kuna viongozi wakubwa ndani ya chama na serikali. Kama ningekuwa na interest za siasa ningeingia humo enzi kina Gambo wako UVCCM na James Ole Millya. Nikiandika na kusapoti chama na mwenyekiti hapa JF inatosha.
 
Eyiii ni wao kule corridor za kitengo ?? Au ni propaganda tuu?? Acha wazikane
 
Ongezea kuwa Kwa siasa za ccm. Na Kwa taarifa yako kama hujui pesa kwenye siasa hasa za Tanzania sio kitu chochote ikiwa Kuna fair ground specifically tume ikiendesha uchaguz Kwa weledi Mfano: 2010 Wenje alimshinda Masha aliyekuwa waziri huku akiwa kapuku,kule kwetu meatu 2010 Meshack opulukwa alimshinda Tycoon Hamis Mbuzi(aka Jambo) na alikuwa kapuku, 2010 Mzee kasulumbai alimshinda Mwarabu Stanislaus Muongo aliyekuwa anafadhiriwa na wajomba zake Oman. Sasa Mayala unaposema pesa ndio jambo la maana kwenye siasa labda huko kwenu
Ni kweli pesa ni kila kitu kwa siasa za CCM, lakini kwa siasa za nchi, ni kweli pesa sio kitu, ndio maana niliwashauri Chadema, waachane na NRNE, uchaguzi wa 2025, Chadema walikuwa na bonge la fursa!, PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
Angalia hapa nilimshauri nini TL.
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.

na kama unaamini hivyo ccm msiogope uchaguzi si mnapesa wekeni levelled ground kisha mpambane na chadema ambao hawana hela halafu nyie mtumie hela, nakwambia Kanda ya ziwa pekee acha Kanda nyingine mkipata majimbo saba nyie ni wanaume, narudia mkipata majimbo saba Kanda ya ziwa nyie ni wanaume.
Angalia hapa ninamshauri nini Prof. Kitila Mkumbo akamwambie nini Dada Mkubwa Mayala: Samia Kaachie Kidogo kale Kasimba ka Kizimkazi

P
 
Mara zote huwa sihangaiki na masuala ya CCM, lakini linapokuja jambo la kuparurana, kulogana na kuuana huwa nafurahia

Pamoja na kushinda kinachoitwa kura za maoni huko Isman wazito wa CCM wanamkataa

Sababu ya kwanza Bwana Fred anaitwa "Mhuni" anayetajwa kuingia CCM ili kutafuta koneksheni tu, anadaiwa hujui hata ukurasa Mmoja wa katiba ya CCM, wanasema amekuja kujificha ili makandokando yake yalindwe

Sababu nyingine inasemwa kwamba kwa vile Kaka yake ni Mbunge wa Iringa Mjini haiwezekani yeye apewe Ismani, kwamba Majimbo ya Iringa yatakuwa ya ukoo, na kwamba linaweza kutokea jimbo lingine kuwa wazi wakamleta Dada yao agombee

Kwa Taarifa hii Tajiri Vunjabei ngoma bado mbichi, vikao vya juu vyaweza kumfyeka
Acha stori za kuokota okota huko mitaani, njoo na ushahidi kamili
 
Wewe Dada ni suala la Muda tu utahamia CCM maana unaipenda sana CCM mpaka unakosa Usingizi. Karibu sana CCM
 
Mbona husemi kuwa lissu alikuwaga Bungeni na Dada yake? Mbona husemi kuwa Mbowe alikuwa na Lema Bungeni ambao ni mtu na mjomba wake?

Kweli wewe hunaga akili kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom