Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Utoto bhana, kwa hiyo akili zako zimeishia ukomo wa kuniita sina akili bila ya hekima za kujadiliana na mimi pasipo matusi?Jidanganye hvo hvo....Mungu aliamua kumtuma mwanae pekee kutoka mbingun kuja dunian kwenye taka taka zotee shetan akamuu msalaban kwa kushawish wanadamu ikabid afufuke awaachie kaz hyo ya kupambana na shetan wanadamu had leo mapambano ni makal..halaf unasema nguv ya shetan ni 0.0001...walokole buana..sjui nan anawatoaga akil nyie
Shetan kauharibu ulimwengu huu for milions of years halaf unasema ana nguvu almost negligible???una akil kwel mlokole...
Heb use ua mind and logic bas...na hapa utasema ooh mambo ya mungu huwez tafsir kwa akil ya mwanadamu..sawa mlokole..lakin huyo mungu ndie kakupa akil na kakuumba kwa mfano wake...hebu eliminiken..ila sio kosa lenu...nyie mmekua mtaj wa corporate and corrupt word...bila watu avarage thinkng dunia hii inakua si nzur kwa mamlaka.so watatumia njia yoyote ku penetrate hyo loophole..sorry brother...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnauzi sana...nyie ndo mnajipanga kwa kina shila na masanja mlishwe neno..halaf mnakuja kubishana huku..mnakera...mtu anaekulisha neno ana elimu ndogo kuliko wew na unakaa kabisa unamskiliza..kisa tu et huwez ku question mambo ya mungu..yaan hata mungu mwenyew anashangaa....ndomana shila anadirik hata kuongea mambo ya ajabu anajua kondoo watamskiliza tu na sadaka watatoa...use ua brain aliyokupa muumba wako tafadhalUtoto bhana, kwa hiyo akili zako zimeishia ukomo wa kuniita sina akili bila ya hekima za kujadiliana na mimi pasipo matusi?
Kila Mtu ashushe matusi yake hapa patakuwa salama kweli?
Mbaya zaidi tunachimbwa mkwara kwmba tukimfuata tutaishia jehannama .Kwa kifupi tu ni kwamba hata Mungu mwenyewe ameshasarenda, amekubali kushindwa na shetani, hana namna!
Shetani ndiye mmiliki halisi wa ulimwengu huu, ndio ukisoma kwenye biblia, shetani alimuonyesha Yesu miliki za ulimwengu na kuahidi kumpatia kama atamsujudia.
Lakini pia, Mungu amekiri kabisa katika biblia kuwa binadamu walio wengi watafuata ushawishi wa shetani na wachache sana ndio watafuata maelekezo ya Mungu, yaani shetani ndiye mwenye ushawishi zaidi juu ya wanadamu kuliko Mungu... Imagine!
Hoja hiyo hapo juu inathibitishwa na ushahidi kuwa ni wachache tu watakaoingia mbinguni/peponi, bali walio wengi wataenda jehanamu, kwa ushawishi wa shetani!
Mungu kazidiwa kabisa na shetani, na jambo la kusikitisha ni kwamba hana uwezo wa kumwangamiza shetani, HAWEZI! Hivyo anabaki kutia huruma tu, hana la kufanya na shetani anatamba bila wasiwasi, popote. SHETANI hoyeeeee!
Mbaya zaidi tunachimbwa mkwara kwmba tukimfuata tutaishia jehannama .
Najiuliza mgogoro wa shetani na mungu unamhusu vipi mwanadamu ???
Mbona shetani hajaandika vitabu vya kumshutumu mungu Kama mungu anavyoandika vitabu vinavyomshutumu shetani ??
Shetwanishe turn au shetan?
E bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi
- Ameweza kumiliki jeshi la mbinguni
- Ameharibu mipango mingi ya Muumbaji,
- Licha ya kumjua Mungu bado anamtunishia kifua
- Ametawala sehemu kubwa ya ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza ndio kaubeba kabisa
Yako mengi ambayo ameyafanya yanatisha kiukweli tunahitaji msaada wa Mungu siyo rahisi kupona ,maana huku duniani ndiko alikotupwa ,maana maandiko matakatifu yanasimulia kulitokea vita kuu mbinguni ,aisee labda hatujui ila ni vita iliyisheheni maarifa ya hali ya juu ,zana zenye uwezo wa kutisha,silaha zenye kuangamiza mwili na roho.
Huyu kiumbe aliwasha moto yaani aliliamsha kwelikweli,Mikael mkuu wa majeshi ikabidi aombe msaada ,ndipo ushindi mwembamba ukapatikana.
Najiuliza sisi binadamu ambao hata ulimwengu wa roho hatuujui,wala hatuna silaha yoyote ya maana tutatoboa?
Even though kwa kuwa wewe ni kiumbe chake,if you make a bad choice,ipo adhabu,and that is eternal hell.
Mkuu kumbe shetani ni wa kiume?Shetani hamiliki jeshi la Mbinguni mkuu,God controls it,that is one.Two, ni kweli Shetani ana nguvu,but only if you have not received Jesus Christ as your personal saviour.Three, despite what you see happening in the World, God is in control of it all.Lastly, God will destroy Satan at the end of time with all his followers.
Hana jinsia mkuu,yeye ni Spirit,'ke' na 'me' ni katika mwili tu.Mkuu kumbe shetani ni wa kiume?
There is no absolute freedom anywhere.Kama hapa duniani unaadhibiwa kwa makosa ufanyayo,Mbinguni ni hivyo hivyo.Mbona duniani unaamini uko huru.Fikra zako zimepofushwa na Shetani ili umchukie Mungu.Eternal hell??!!, halafu hapo hapo unasema Mungu wetu sio dictator !!🤣🤣
Mtu afanye makosa kwa muda fixed hapa duniani kinyume chake apate adhabu ya MILELE?!?---- is that an absolute justice??!
Mkuu hata Mungu ana hasira si unakumbuka alivyo muangamiza kora na wenzake pale Kanesh Bernea?? tena hasira ya Mungu ikiwaka Juu yako heee! ni usiombee!!Jamaa ana hasira hadi bible imeandika kiasi cha hasira yake!!
Kumbuka shetani alikuwa Malaika wa sifa,na muimbaji Mkuu Huko mbinguni!! sifa zake zilikuwa kubwa mnooo ''Mkuu wamalaika!! na Lucifer........Mungu alimwachia shetani mauwezo km yooote!!.....Kwanza ni Kiumbe!
Sasa Kiumbe anamshindaje Aliyemuumba!
Hapa ndo weusi mnaingia chaka mbaya! mpaka basiiii!...sasaaa jesus yupi?? maana najua hao ma-jesus wako wengi??? Africans wengi kwa miaka mingi mnaabudu msicho kijua kabisaaa!! haya siyo mananeno yangu! bali hii ni laana ya Musa!!What is it:accept Jesus Christ as your personal savior,after which you will receive the Holy Spirit
Ahaaaa!!! Nimeipenda hii,kwanza mtoa uzi inabidi ajue shetani hana chake ulimwenguni, ni mwizi tu ajawahi umba hata sindano.Unazijua mbinu za Shetani kijana??
Shetani akikuambia kitu usimwamini ni uongo
Quote
“Ndani yake ( rohoni mwake) Hapana ukweli “ Bible!
Kwa hivyo wakati shetani anamwambia yesu kwamba miliki zote za ulimwengu ni zake he was lying!!
In fact alikua anaongea kwa mmiliki halisi hahahaa!
Ndiyo Shetani ni mjanja kama wanawake tuu na kusema hivyo AMEJIMILIKISHA
Kumbuka kujimilikisha siyo kumiliki bali kujifanya wewe mmiliki
Yani utengeneze milki wewe halafu umwachie mwingine, mwanadamu hawezi kufanya hivyo Vipi Mungu”!
Na bible inapoandika kwa kumnakili Shetani haimanishi anachokisema Shetani ni kweli
Kwa iyo Shetani siyo mmiliki na hajawahi kumiliki ulimwengu huu tangu mwanzo na hata siku ile anajaribu Kumdanganya yesu hakuwa mmiliki!
Mungu ni bepari mmoja mzuri tu ambaye hawezi kugawa mali zake at any cost!
Mungu ni Capitalist tena wa ngazi ya Imperialist kabisa
Halafu usije dhani Mungu Siyo mjanja kwamba ujanja anao ibilisi/ Shetani tuu hahahaa
Mungu Mjanja hata Shetani hafui dafu!
Ukitaka kujua Mungu ni Mjanja Angalia alivyokua anawashauri Waisrael wapigane vita—- Full Mbinu na walikua wanashinda!
Mungu ni mjanja na kisasa tunasema “ Mtoto wa Mjini “ huwezi Mwingiza Kingi hata kidogo!
Mungu anaujua Uongo sema hawezi Sema Uongo yeye husema Ukweli daima——
Aseme Uongo ili iweje wakati yeye ni mtawala na mmiliki na ndiyo top!!
Shetani Anaujua ukweli lakini daima hawezi toa neno lenye ukweli kinywani mwake!!
Mungu ndiye aliyeweka foundation ya Natural laws zote unazozijua hadi zile psychological Laws!
Na in the end!
Huwezi mdanganya Mungu
Bible imerekodi maandishi ambayo ni Mawazo ya Mtu/ Watu hata kabla hawajayasema au kuyatekeleza
Utakuta maneno kama haya
1. “Akasema moyoni mwake”
2. “ Akawaza”
Nk
Hata Shetani ameandikiwa alikua mwema hadi siku ile uovu ulipoingia moyoni mwake !
Shetani akasema moyoni mwake “Nitapanda hadi mlima wa Mungu “
Ebu imajini mawazo ya Mtu/ kiumbe yanawekwa wazi katika maandishi!!!
Kwa hiyo Shetani hajawin hii vita na yupo restless sana now hadi imeandikwa state yake sasa hivi “ anazunguka huku na huko “
Mtu anayezunguka huku na huko akitafuta mtu ammeze means yupo Anahangaika!!
Simply jamaa yupo Vitani and anatafuta watu awameze kwa njia zote zaidi ikiwa Uongo na Kuwafanganyia watu Mali!
Jamaa ukila chake lazima ulipie hana free lunch
Lakini ebu tazama vya Mungu tunavyovitumia Bila malipo hadi raha!
Imeandikwa, mawazo na akili za mwanadamu aziwezi fananishwa na za Mungu.Quran na biblia zinasema kuwa Mungu yupo na shetani aliumbwa na Mungu,Na pia wanaaamini kuwa Mungu anajua yote yaan anajua yanayokuja swali kama Mungu anajua yanayokuja kwanini alimuumba shetani wakati akijua atakuja kuwa mpinzani na adui yake kwanini katika darubini zake hakuona kuwa shetani atakuja kumpinga?
Kitendo cha mungu kuruhusu shetani kuumbwa lazima dhambi ziwepo kwa maana nyingine mungu ndio kaumba mabaya na maovu yote duniani hivyo basi kwa maneno rahisi Mungu ndio shetani mwenyewe
Imeandikwa na nani?Imeandikwa, mawazo na akili za mwanadamu aziwezi fananishwa na za Mungu.
Umelaaniwa wewe.