Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,641
😀😀😀 amuondoe uyo shetani mchezo uishe sio hizi drama zao za tom and jerry ambazo hazina mwisho.Yeah kama vipi mungu amuondoe shetani asituchoshe
😀😀😀 amuondoe uyo shetani mchezo uishe sio hizi drama zao za tom and jerry ambazo hazina mwisho.Yeah kama vipi mungu amuondoe shetani asituchoshe
Hakuna cha shetani wala Mungu ,hiyo ni Lugha ya picha tu kuonyesha ukamilivu wa vitu ili kuleta balance fulani , hauwezi kujua uzuri kama hakuna ubaya just for experience and balance tu.😀😀😀 amuondoe uyo shetani mchezo uishe sio hizi drama zao za tom and jerry ambazo hazina mwisho.
Katengeneza tatizo halafu kila kitu lawama kwetu sisi ambao hatukuomba hata kuzaliwa ni yeye ameamua kutuleta dunia😀😀😀 amuondoe uyo shetani mchezo uishe sio hizi drama zao za tom and jerry ambazo hazina mwisho.
Hadithi za kitoto mnoKatengeneza tatizo halafu kila kitu lawama kwetu sisi ambao hatukuomba hata kuzaliwa ni yeye ameamua kutuleta dunia
Tunaamini Mungu anao uweza wote,kwa nn asimuondoe huyo asiye na nguvu?Umejaribu kuandika jambo Kwa uono wako ulionao!
Ukweli ni kwamba
Binaadamu alifanywa kuwa mhanga wa ugomvi wa kiroho wa taasisi mbili ya kiungu na ya kishetani!
Waligombana wao wenyewe wenye akili nyingi sana kuliko sisi halafu wakatufanya sisi kuwa chambo Cha wao kujisafisha na kujiona kwamba nani ni mshindi dhidi ya mwenzake!!
Maisha ya Bina adam yangekua yenye furaha na amani sana plus shauku ya Hali ya juu kama ugomvi wao usingekuwepo tangu zamani sana!
Kukosana kwao wao ndio kumetuletea mashaka mapambano yasio na mwisho na maisha kuwa ya mtego wa kutembea kwenye kamba nyembamba sana ambayo muda wowote unaangukia upande mmojawapo kati ya taasisi hizo mbili!!!
Tunaumizwa sana!
Kama upo upande wa Yesu kwa nn ujaribiwe,uteswe,na uumizwe?Waliisha malizana kila upande uliamua kwakwe, hata wewe wamekuwekea uchague wewe mwenyewe. So Unaumizwaje? Utaumia ukiwa katikati tu bila upande. Maana mifumo Yao ndio inatawala.
Ahakikishe umemfata yeye au mikateKama upo upande wa Yesu kwa nn ujaribiwe,uteswe,na uumizwe?