Shetani ana mpango ambao sio mzuri kwa mwanadamu!

Shetani ana mpango ambao sio mzuri kwa mwanadamu!

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
2,111
Reaction score
1,494
Shetani ana mpango ambao sio mzuri kwa mwanadamu,! Anatumia kila linalowezekana kuhakikisha agenda yake inatekelezeka kwa namna yote Ile na kwa kumtumia mtu yeyote yule, haijalishi ni nani wa wapi na anacheo Gani.

Mipango miovu haijaanzq Leo! Imenenwa hivi mahari Fulani "Tokea siku za baba zenu mmegeuka upande, umeendelea katika hali hiii kwa muda, lakini sasa ........ nitakutapika" laruheni mioyo yenu sio mavazi yenu,hughahiri mabaya, atakufanya kuwa mtu was mfano!

Shetani anafurahia kutuona katika hali ya uovu, Mashaka, maumivu, majonzi! shetani Anataka atumiliki! wewe na Mimi tuwe wake milele. Amekuwa akibuni mbinu Mbalimbali za kumuuangamiza na kumshawishi mwanadamu afanye uovu kwa kujua atahamsha hasira ya Mungu na Mungu atamuuangamiza mwanadamu.

Shetani alipo Oona Mahusiana katika ya Mungu na mwanadamu yamejengeka katika amri ,sasa anaambia ziligongolomewa msalabani.Wanadam wanamkubal Yesu ila wanakataa maagizo yake. Hili ni kosa la kiufundi. Ni makosa makubwa! Ni agenda ya shetani kuondoa uhusiano baina ya Mwanadamu na Mungu.Huusiano baina ya Mwanadamu na Mungu umejengwa juu ya Amri zake,Sheria zake!

Unaweza kujiuliza ni jambo Gani na nikipi ambacho Mungu amekikataza, ambacho Mungu anakichukia na shetani anawekeza nguvu sana ili watu wakitende ili Mungu awaangamize Ufunuo 3:14---16

Agenda kubwa ni kukufanya kuwa vugu vugu, Kila mtu amjue Mungu, Leo wapagani wamepungua sana, agenda sio kuwafanya watu wasimjue Mungu, anaakikisha mtu anamjua Mungu lakini amchanganye na mambo ya kidunia awe vugu vugu, Hetani ahangaiki na wasiomjua Mungu Bali na wanaomjua Mungu. Utatapikwa, kinacho tapikwa ni matapishi

1: Mkristo lakini mlevi utatwpikwa

2: uje kanisa lakini unaenda kwa waganga mshirikina utatapikwa

3: Uko kanisa lakini bado ni muasherati, mzinzi

4: Uko kanisa lakini uishi katika nyayo za Mungu

5: Anataka uje maombi Kila jumatano lakini msengenyaje

6: Uhudhurie Kila ibada lakini bado unatembea na wake za watu, waume za watu, Binti za watu

7: kupuuzia mambo ya wokovu kutojari na kutimiza wajibu

8: Kuja kanisa ni lakini kwenda kutafuta miujiza kwa nabii, kutafuta maji kwa nabii, maana Mahalia ulipo hakuna uponyaji!

Ufunuo 3:20 Ni mara ngapi Mungu amekusihi uache dhambi lakini bado unaendeleaa nakupa shauri nunua dawa ya macho upate kupona, yumkini hauni wewe ni kipofu, uwe na bidii ukatubu. Hakuna faida ya kuwa vugu vugu, Kuna mahari Fulani umemkosea Mungu, Ghahili vinginevyo utatapikwa .......utakufa matapishi
 
Umejaribu kuandika jambo Kwa uono wako ulionao!

Ukweli ni kwamba

Binaadamu alifanywa kuwa mhanga wa ugomvi wa kiroho wa taasisi mbili ya kiungu na ya kishetani!

Waligombana wao wenyewe wenye akili nyingi sana kuliko sisi halafu wakatufanya sisi kuwa chambo Cha wao kujisafisha na kujiona kwamba nani ni mshindi dhidi ya mwenzake!!

Maisha ya Bina adam yangekua yenye furaha na amani sana plus shauku ya Hali ya juu kama ugomvi wao usingekuwepo tangu zamani sana!

Kukosana kwao wao ndio kumetuletea mashaka mapambano yasio na mwisho na maisha kuwa ya mtego wa kutembea kwenye kamba nyembamba sana ambayo muda wowote unaangukia upande mmojawapo kati ya taasisi hizo mbili!!!

Tunaumizwa sana!
 
Pambano ni kubwa lakini Upande salama ni Upande was Yesu, shetani ni looser
 
Umejaribu kuandika jambo Kwa uono wako ulionao!

Ukweli ni kwamba

Binaadamu alifanywa kuwa mhanga wa ugomvi wa kiroho wa taasisi mbili ya kiungu na ya kishetani!

Waligombana wao wenyewe wenye akili nyingi sana kuliko sisi halafu wakatufanya sisi kuwa chambo Cha wao kujisafisha na kujiona kwamba nani ni mshindi dhidi ya mwenzake!!

Maisha ya Bina adam yangekua yenye furaha na amani sana plus shauku ya Hali ya juu kama ugomvi wao usingekuwepo tangu zamani sana!

Kukosana kwao wao ndio kumetuletea mashaka mapambano yasio na mwisho na maisha kuwa ya mtego wa kutembea kwenye kamba nyembamba sana ambayo muda wowote unaangukia upande mmojawapo kati ya taasisi hizo mbili!!!

Tunaumizwa sana!
Waliisha malizana kila upande uliamua kwakwe, hata wewe wamekuwekea uchague wewe mwenyewe. So Unaumizwaje? Utaumia ukiwa katikati tu bila upande. Maana mifumo Yao ndio inatawala.
 
Waliisha malizana kila upande uliamua kwakwe, hata wewe wamekuwekea uchague wewe mwenyewe. So Unaumizwaje? Utaumia ukiwa katikati tu bila upande. Maana mifumo Yao ndio inatawala.
Hakuna upande wenye unafuu!pote Pana miiba !sio mwenyehaki Wala muovu anaefurahia maisha!

Mwenye haki huanguka mara Saba lakini husimama ndivyo maandiko yanavyosema he maumivu ya kuanguka ninmazuri!!?

Wenye haki wanalia,waovu wanalia pia nani mwenye unafuu!!?

Wote wanalia wakisubiri hatma ya mwisho baada ya maisha haya yenye kuchosha sana!
 
Shetani ana mpango ambao sio mzuri kwa mwanadamu,! Anatumia kila linalowezekana kuhakikisha agenda yake inatekelezeka kwa namna yote Ile na kwa kumtumia mtu yeyote yule, haijalishi ni nani wa wapi na anacheo Gani.
Tunaambiwa Mungu ni mjuzi wa kilankitu na mpangaji wa yote. Je wakati anamuumba shetani hakujua kama atakuja kusumbua badae? Wakati anamtupa shetani duniani hakujua kama atatupotosha viumbe wake? Kuna mabilioni ya sayari kwenye galaxy, kwanini Mungu asingemtupa uko uyo shetani mpaka akaamua kumtupa hapa duniani?

Shetani anafurahia kutuona katika hali ya uovu, Mashaka, maumivu, majonzi!
Kati ya Mungu na shetani ni nani kinara wa kusababisha maumivu, mashaka na majonzi kwa binadamu? Kwa haraka haraka sikumbuki ni wapi shetani alitusababishia majonzi na maumivu, labda katika lile tukio moja la kumjaribu Ayubu tena napo ulikua mpango ambao walishirikiana na Mungu, lakini upande wa Mungu kuna sehemu nyingi sana kasababisha majonzi na maumivu kwa binadamu mfano alivyoangamiza watu kupitia gharika, alivyoua watoto wachanga baada ya farao kukaidi amri yake n.k

Amekuwa akibuni mbinu Mbalimbali za kumuuangamiza na kumshawishi mwanadamu afanye uovu kwa kujua atahamsha hasira ya Mungu na Mungu atamuuangamiza mwanadamu.
So God is not intellegent enough to unlock those Devil's mind games.
 
Hayo mambo ni ya kufikirika siku mtakapo acha kuamini na kwenda kwenye level ya kujua ndio mtaelewa hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom