Shetani: Adui rafiki asiye na kinyongo

.
507ceda20ef8fff5f4b05a4f0b807a13.jpg
 
Aaamen uko njia sahihi kabisa lakini bado umerudia njia ileile ya kuhukumu na kuniita mnafiki
Unachoongea ni mahubiri ya kawaida kwenye nyumba za ibada ninachoongea ni ukweli wa moyo Katika uhalisia wake maishani
Tukisema hatuna dhambi twajidanganya wala kweli haipo ndani mwetu, ila tukitibu yeye ni mwaminifu atatusamehe maovu yetu...
Binafsi naamini hakuna siku ambayo inaweza pita bila mwanadamu kutenda dhambi (tukiondoa unafki) kwa matendo, maneno au hata kwa kuwaza...na kuna dhambi nyingine unaweza fanya bila hata kujua.
Ndio maana Ayubu mcha MUNGU alikuwa anaomba toba kila asubuhi kwa ajili yake na watoto wake.
 
Aaamen barikiwa zaidi... Sahihi kabisa
 
Shetani ana Kinyongo hakika na kweli kabisa.
Anamwonea wivu Mwanadamu kwakuwa anafulsa ya kuishi Mbinguni baadae.
Anamwonea wivu Mwanadamu kwa kupata fulsa ya kubarikiwa na Mungu.
Anamwonea wivu Mwanadamu kwa kutawala mazingira ya dunia na vyote vilivyomo ndani yake.
Nakadhalika
Ndio maana ukianzisha tu uhusiano na Shetani hakupi mambo ya kukunufaisha. Bali
Lengo lake ni akuhalibu, akuue au akuibie na kukupa masharti kibao ya kuhalibu familia yako eg, kutoa kafara za damu za ndugu zako kwa kuwaua.
Shetani ndie chanzo cha matatizo mengi tu na mwisho anafosi uende kuzimu ambako ni chungu cha mateso.
Shetani ana kinyongo cha kufukuzwa Mbinguni na kunyimwa madaraka ya kuitawala Mbingu na Nchi.
Nakadhalika
Cc Jr
 
replies zako huwa zimejaa weledi na ni chakula kizuri chenye afya ya kiroho
 
Aaamen uko njia sahihi kabisa lakini bado umerudia njia ileile ya kuhukumu na kuniita mnafiki
Unachoongea ni mahubiri ya kawaida kwenye nyumba za ibada ninachoongea ni ukweli wa moyo Katika uhalisia wake maishani
Mshana kaka...umesema kweli tupu na mbinguni unaweza kuingia kupitia ukweli wa mada zako humu.
Binafsi napenda watu wa kweli

Kuna laana ya Uongo hap Tz

Unakuta mtu anaenda kuomba kazi shirika la dini au popote na anajinasbu ni mcha Mungu laki hyo CV chenye ukweli ni jina lake.
Mark..alipata kwa uongo
Sifa zake za uongo

Alafu anamuomba Mungu amsaidie.
Na ametoka nyumba ya Ibada kuombewa.

Kweli yako...inatuweka huru.

We andika tu ukweli...usivunjike moyo na wanao kuhukumu....kwakuwa wanatenda ya shetani
Na hawana macho ya rohoni kukutazama kwamba wewe ni nani.
Tuliokufahamu...tunakupenda bure na kukuelewa vema
 
I wonder watu wanadhani kuzini ndo zambi kubwa kuwa unakuwa kwa shetani kabisa! Watu tunasahau kuwa kutotoa Dhaka inayostahili ni dhambi,ila ukiambiwa peleka kwa mganga wa kienyezi kuku au mbuzi aliyenono unapeleka faster ila kwenye sadaka ya msikitini au kanisani unatoa ambacho wewe mwenyewe unaona hakifai!!
 
Hivyo mungu alitaka shetani aishi?! Ikiwa ndivyo, sasa bifu lake na shetani la nini,si angemwacha tu na yeye aishi freely. Make mi mwanzo nilidhani mungu hampendi shetani na nilijiuliza kwanini hakumuua/kumuangamiza alipokosea badala yake aka mfukuzia humu duniani, akijua nasisi tutaishi humu. Hii imekaa kama siasa, chama tawala kinataka kipendwe na mpinzani achukiwe. Kwanini shetani apigwe vita, kama hakutakiwa?! si angeuwawa tangu mwanzo, kwanini aliachwaa aishi na tena nyumba moja nawateule wa mungu.
Sorry... Hivi ushawai jiuliza kwa nini shule wameweka mitihani ususani pale kutoka ngazi moja kwenda nyingine? Hali wakijua kuna kufelii??
 
replies zako huwa zimejaa weledi na ni chakula kizuri chenye afya ya kiroho
Wewe ndio unayetugawia hii hekima inayofanya tuzidi kudadisi na kutafakari hii nyanja ya Kiroho ambayo elimu yake ni adimu kwa tuluo wengi.
Endelea kutupa maarifa hayo ili tujifunze zaidi

Aaamen
 
Nachokijua kuhusu shetani hajawah kuwa rafiki,anapokupa kitu kizuri ni wakat anapotaka kukupa sumu inayokuwa mwishoni mwa hicho kitu kizuri,anakupa utamu ili upate uchungu baadae,hajawahi kutoa mafanikio au furaha ya kudumu
 
Adui rafiki
 
Back
Top Bottom