Yeah that's why there is time when you need to fight him and there is time when you need to negotiate with him
Very sad to hear this. Are you working with the devil?Yeah that's why there is time when you need to fight him and there is time when you need to negotiate with him
I am not here to babysit Lofas.Let's be precise hebu nitajie alama za shetani ni zipi tukiachana na copy n paste
Hahahaaa hayo ni maneno ya kawaida sana...halafu ya kuiga haya Jibu swali langu sasa
The "v sign" has a colourful history. "V" is the Roman sign for the number five and Adam Weishaupt used it in the Illuminati to symbolise the "Law of Fives,'' but there's more. In the Cabala:
"the meaning for the Hebrew letter for V (Van) is 'Nail.' Now, 'The Nail' is one of the secret titles of Satan within the Brotherhood of Satanism. Satan is letting us know that this is one of his favourite signs. Why else does he like the PENTA-gram (Penta = five!) and the FIVE-fold salute used in Masonry and Witchcraft?''
There is a devil in your camp. You an't got nothing but venomousOK asante kumbe sio yako bali ni ya kupakua mtandaoni? Haya hebu niambie sasa kuna uhusiano gani na hii post yangu? Usipanic Usikurupuke take your time unijibu
Umemaliza kila kitu. Ndo maana unakuta mtu anajifanya mcha Mungu kweli halafu unakuta eti kashikwa ugoni. Sasa mtu unajiuliza, what happened? Ni kwa sababu hii tunashauriwa sana kuwa ni hatari mno kuegemeza imani zetu kwa binadamu wenzetu hata kama ni watabiri wazuri kama TB Joshua, "wafufua watu" Kama Gwajima n.k.Unaingia nyumba ya ibada kwa imani yako ukiwa na matatizo lukuki Hapa unaenda kuomba msaada wa Mola wako ukifanikiwa unaenda kufanya uchafu huku ukiomba mambo yasije kuharibika... Mungu anakutizamana tu huku shetani akitabasamu kwa pozi
Umemaliza kila kitu. Ndo maana unakuta mtu anajifanya mcha Mungu kweli halafu unakuta eti kashikwa ugoni. Sasa mtu unajiuliza, what happened? Ni kwa sababu hii tunashauriwa sana kuwa ni hatari mno kuegemeza imani zetu kwa binadamu wenzetu hata kama ni watabiri wazuri kama TB Joshua, "wafufua watu" Kama Gwajima n.k.
Halafu kuna jambo Mshana Jr huwa linanikera kwenye hii ishu ya Mungu na Shetani. Kwenye Biblia inaonekana kwamba shetani na Mungu huwa wanakutana na hata kupiga stori mf. Ishu ya shetani na Ayubu. Hili linawezekanaje wakati tunaambiwa kwamba Mungu ni Mtakatifu mno kiasi kwamba kitu kichafu hakiwezi hata kumkaribia? Na kwa vile Mungu wetu Anajua kila kitu, kwa nini Ali-go ahead anyway na kumuumba shetani? Maswali haya huwa yananitatanisha sana na huishia tu kujipa moyo kwamba kwa akili hii ndogo ya kibinadamu hatuwezi kumwelewa Mungu katika ukamilifu wake. May be tutaelewa zaid tukifika mbinguni! Wewe unaonaje?
Ooh OK I never knew about it...now back to topic.... REPLY YAKO INA MAHUSIANO GANI NA POST YANGU? don't tell you are failing to answer such a simple question