Najaribu kuangalia sheria zetu zinavyobadilika kulingana na mahitaji ya watawala.
Uchaguzi wa 2005 tuliambiwa tukae mita 100, mwaka 2010 mita 200, mwaka huu tunaambiwa turudi nyumbani, nategemea uchaguzi wa 2020 tutaambiwa baada ya kupiga kura hama mji.
Guess uchaguzi wa 2025 tutaambiwa twende wapi.