Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Watanzania nadhani mmekiona kilichoipata Nchi Yetu.Wapinzani walikuwa wakihoji kuna Uharaka wa nini wa kuleta Hati ya Dharura Bungeni ?Wabunge wa CCM wakawa wanawacheka Leo Hati ya Dhararu ya Sheria za Madini Na Gesi ni Kilio.