Sheria za madini na gesi: Hati za dharura wabunge wa CCM hamkwepi

Robinhomtoto

JF-Expert Member
May 17, 2017
238
244
Watanzania nadhani mmekiona kilichoipata Nchi Yetu.Wapinzani walikuwa wakihoji kuna Uharaka wa nini wa kuleta Hati ya Dharura Bungeni ?Wabunge wa CCM wakawa wanawacheka Leo Hati ya Dhararu ya Sheria za Madini Na Gesi ni Kilio.
 
Nafikiri kuna umhm wa kurudia kurusha vipindi maalum wakati wa upitishaji wa miswada ya dharura enzi hizo kwa faida ya vijana wetu. Lengo kuwaona CCM walivo wanafiki wakubwa. bungeni ndiooooo nyingi hata kwenye upuzi.
 
Watanzania nadhani mmekiona kilichoipata Nchi Yetu.Wapinzani walikuwa wakihoji kuna Uharaka wa nini wa kuleta Hati ya Dharura Bungeni ?Wabunge wa CCM wakawa wanawacheka Leo Hati ya Dhararu ya Sheria za Madini Na Gesi ni Kilio.
Issue ni party cocos.
 
Not priority for now
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom