RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,758
- 4,362
Ijulikane kwamba ndani ya ccm NI wazi kwamba wizi wa Mali za umma kwao NI sehemu ya maisha na huwa hawajui kuwa ndani ya ccm hiyohiyo kuna viongozi huangalia yanayotendeka na kujinyamazia!
Sasa watu wanamna hii wakishika madaraka huanza kufilisi Mali zote ulizozipata kwa njia isiyo Halali na Ndipo wengi hupiga kelele na kuanza kulialia, wanasahau kuwa Zama zao walinyanyasa umma kwa kuwaibia.
Katika utawala wa magufuli mengi tuliyaona vijana wake walikuwa wakifika wanakuuliza hiki umekipataje badala ya kujibu wanaanguka na pressure mwisho kifo ndugu zangu wafanya kazi wa serikali na wafanyabiashara wa nchi tendeni yaliyomema haijulikani Mwaka mtu kama magufuli ataongoza nchi,
Kujilimbikizia Mali hasa zinazopatikana kwa wizi kupitia fedha za umma zitawagharimu hii nchi hakuna mwenye hati miliki hata mkitunga sheria za kukandamiza raia kuna mda zitaisha !
Akili za wabunge wetu wanakaa bungeni wanatunga sheria za wenza wawastaafu kupata fedha za kutunza wastaafu hivi nyie wakati mnatunga sheria hizo hamuoni raia wanavyoteseka kwa kukosa MADAWA n.k.
Mnakaa bungeni mnapitisha bajeti ya kununua magari ya kifahari na Madelu anaona kama yeye ndiye mwenye nchi anaambia watu wahamie Burundi ! Mimi namkumbusha aone Kenya NI Nani mwenye nchi je nikiongozi wa serikali au wananchi wenyewe.
Limbikizeni Mali hamjui kuna siku hamtakuwa mawaziri wala wabunge rungu litakapo wafikia tutakuja kuona mengi mungu yupo naamini tutaishi tutafika kipindi hicho.