sheria ya Tanzania juuvya domain namea

sheria ya Tanzania juuvya domain namea

Third Eye

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
373
Reaction score
210
Hello wanajamvi, samahani kwa mwenye kuelewa sheria ya Tanzania juu ya uandikishaji, umiliki na uuzaji wa domain names kwa hapa nyumbani anisaidie,

Na je ni kosa kisheria kusajili na kumiliki domain name zenye jina la mtu mwingine mfano johnsmith.com ilhali mimi sio John Smith?
Regards
 
Back
Top Bottom