Sheria ya Tanzania inaruhusu mwanaume kupata uraia kwa kuoa mwanamke mtanzania?

Motowntzjpm

Senior Member
Jun 16, 2023
118
191
Habari,

Yes, Uraia huo upo, kuoa au kuolewa.

Kwa Tanzania, mtu mwenye uraia wa nchi nyingine (mfano England) akioa Tanzania anakuwa na haki na taifa litamtambua kama Mtanzania na lakini hatopata uraia wa kudumu mpaka pale atakapoukacha uraia wa England maana katiba yetu hairuhusu uraia pacha.
 
Habari Maelezo Yes, Uraia huo upo, kuoa au kuolewa... Kwa Tanzania, mtu mwenye uraia wa nchi nyingine (mfano England) akioa Tz anakuwa na haki na taifa litamtambua kama mtz na lakini hatopata uraia wa kudumu mpaka pale atakapoukacha uraia wa England maana katiba yetu hairuhusu uraia pacha
sasa Mkuu mbona kama swali lako halijakaa vyema? au labda mimi sijalielewa
 
ila nikijibu kwa kutumia Title/heading ya uzi wako,jibu ni ndio mwanaume anaweza pia kupata uraia wa kwa kuoa mwanamke wa kitanzania,taratibu zitatumika zilezile kama ingekuwa kijana wa kitanzania angeoa mgeni
 
Back
Top Bottom