Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,500
- 12,833
Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa. Hivi sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuituza mwenye?
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani
Kilo 10 sio poaI got 10 kilos under my bed
Tupe utaratibu kwa faida ya wengi. Ukitaka kununua utaratibu upoje.I got 10 kilos under my bed