blacknyasu
New Member
- Jun 6, 2008
- 2
- 0
Za asubuhi waungwana, hivi karbuni nilisikia kwenye radio(sikumbuki ni redio station gani)ya kwamba nchi yetu inareview sheria ya ndoa ili kuwalinda mabinti wenye umri chini ya miaka 18. Naomba kama kuna mdau yoyote mwenye link ya document ambayo naweza kuoan sheria ya ndoa ya Tanzania anipatie
Shukran
Shukran