SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
868
SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000

Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..

No stories...
 
Angalieni hukumu mnayopimia wenzenu, maana nanyi mtapimiwa hvohvo. Jambo ni rahisi, ukitaka mwenye sifa zote hzo, nawe uwe nazo hvohvo bila kupungukiwa.
 
Back
Top Bottom