Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

 
Habari zenu wadau!Kuna kaka angu amefikia kikomo cha uvumilivu kwenye ndoa yake(ya kiksristo) na ameamua kuivunja. Hajui taratibu za kufuata ili afanikiwe kutoa talaka. Msaada please kwa waijuao sheria
Lazima vikao vya usuluhishi vifanyike kanisani au baraza la kata, kanisani wakishindwa kuwasuluhisha ndio watawapa go ahead ya kwenda mahakamani labda kama kuna short cut zingine ambazo anaweza kufanya lakini kisheria ni kama nilivyosema hapo juu
 
Kuna couple walifunga ndoa bomani kwa kuwa walikuwa dini tofauti Muislam na Mkristo.Lengo lilikuwa kupata uhamisho ili wakishakuwa pamoja wafanye mipango ya ndoa rasmi ya Kikristo.

Ndoa ya bomani ilifungwa pasipo wazazi wa pande zote kufahamu wala kushirikishwa. Uhamisho ulikwama na Baadae mwanamke akaamua mwenda kwao kafunga ndoa ya kiislamu kwa ridhaa ya wazazi wakati hiyo ndoa ya bomani haijavunjwa. Sasa hapo inakuwaje wayfoward kwa huyo mmoja (mkristo) aliebaki hewani.
 
Bora waachane maana wakizidi kukaa pmja watakuja umizana!

Ova
 
NDOA YAO YA BOMA WAMEFUNGIA KATIKA MILA ZA JADI YA WATU WA WAPI?
 
NDOA YAO YA BOMA WAMEFUNGIA KATIKA MILA ZA JADI YA WATU WA WAPI??
Walifungia serikalini kwa maana neutral ground Dini wala jadi hazikuhusika ila imani yao walikuwa Muislamu kwa Mkristo by the time wanafunga hiyo ndoa mwaka 2014. Baadae mwanamke aka -withdraw kimya kimya akaenda kwao akafunda ndoa ya kidini (kiislamu) na kwa ridhaa ya wazazi wake.
 
Samahan kaka mfano mm mke wangu anataka talaka na tunanyumba ambayo nilikopa pesa benki na kuweka dhamana ya mshahara maana mm ni mtumishi je nikiachana nae nyumba inaweza kiuzwa tukagawana au anaweza kuambiwa abaki kwenye nyumba mimi niondoke na mkopo bado haujaisha wananikata mshahara wangu na anawatoto wadogo.
 
Hapa ndipo utajua ukristo ni dini ya ujanja ujanja tu si dini ya Mungu.

Haiwezekani suala la kidini lisuluhishwe na mambo ya kimahakama ambayo hayafuati misingi ya kidini.
 
Daisy. Akipata kubali Cha kuvunja ndoa na kupelekwa mahakamani. Kule Kunaitwa kesi tena na kusikilizwa au ni kutimiliza dhumuni kuu yaani kutoa talaka. Ahsante msaada please
 
Sheria ya ndoa ya mwaka 77 hailitambui deni kama Mali. Sheria imejikita zaidi kwenye Asset na liability!
Madeni ni kama ni Jina la mtu hayarithiwi, wala kugawanyika, ukiondoka ondoka na madeni yako
Sheria inamapungufu makubwa,deni lina la miaka 6 lina mwaka 1 tu tunaachana assets zimeanzishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…