Serikali itakuwa inaingia sokoni na kusaka vitu vya bei nafuu?????????????Mkuu, ni kazi rahisi tu. Kalamu ya kuandikia inaweza kuuzwa Shs mia tano mitaani. Lakini utakuta kwenye manunuzi ya serikali bei yake ni Shs elfu mbili!
Nadhani kuna sababu kwa nini inakuwa elfu mbili seriklini. Mkandarasi anapo quote bei zake, huwa anaweka faida at the end the total costs. Kwa mfano: Nikipata contract ya kufundisha, say at a certain University, nahesabu nauli, per diem; then at the end of that calculation naweka fedha ya kutoa lectures siyo ile per diem eti nisave hiyo ndiyo uwe ujira wangu, hapana. NASIKIA WAKANDARASI HAWAFANYI HIVYO FAIDA ANAIPATA KUTOKANA NA KALAMU YA ELUFU! Am i right?Mkuu, ni kazi rahisi tu. Kalamu ya kuandikia inaweza kuuzwa Shs mia tano mitaani. Lakini utakuta kwenye manunuzi ya serikali bei yake ni Shs elfu mbili!
Wanaouza mia tano hawapati faida?Nadhani kuna sababu kwa nini inakuwa elfu mbili seriklini. Mkandarasi anapo quote bei zake, huwa anaweka faida at the end the total costs. Kwa mfano: Nikipata contract ya kufundisha, say at a certain University, nahesabu nauli, per diem; then at the end of that calculation naweka fedha ya kutoa lectures siyo ile per diem eti nisave hiyo ndiyo uwe ujira wangu, hapana. NASIKIA WAKANDARASI HAWAFANYI HIVYO FAIDA ANAIPATA KUTOKANA NA KALAMU YA ELUFU! Am i right?
Chukua mfano wa stationaries. Kwa nini Masumini awauze wino wa printer kwa laki moja lakini kwa serikali iwe laki na nusu?Serikali itakuwa inaingia sokoni na kusaka vitu vya bei nafuu?????????????
watu wa manunuzi watakuwa wanashinda sokoni au
Wanapata faida, of what margin? with what investment? Mfano: siwezi kuweka milioni 200 Tsh katika kazi nikapata milioni moja! Never! Hao wa miatano ni wachuuzi wa mama ntilie! Mantiki ni hiyo nadhani SibonikeWanaouza mia tano hawapati faida?
If anything, serikali inanunua kwa wingi na inastahili discount!
Kuna cases za kujustify unayosema. Mtu mwenye tender ya ku supply stationaries ana invest kitu kikubwa zaidi ya kuwa na store?Wanapata faida, of what margin? with what investment? Mfano: siwezi kuweka milioni 200 Tsh katika kazi nikapata milioni moja! Never! Hao wa miatano ni wachuuzi wa mama ntilie! Mantiki ni hiyo nadhani Sibonike
You are right, nimeongea na mkandarasi akasema hivyo hivyo. Faida ni ndogo lakni serikali inaweza kukaa na hela zako miaka! Ni kama hela zimepotea. Ni sawa kama tunapokopa mitaani. Ukikopa anakuwkea 50% more, ukilipa cash, 50% less!Kuna cases za kujustify unayosema. Mtu mwenye tender ya ku supply stationaries ana invest kitu kikubwa zaidi ya kuwa na store?
Toka store hiyo wanauza toner kwa laki moja na inamchukua muda mrefu kumaliza stock ili aagize consignment nyingine. Serikali inanunua kwa wingi na kumpa nafasi ya kuzungusha hela haraka.
Najua kuna masuala ya LPO na kuchelewesha malipo lakini tofauti kubwa ya haiwezi kueleza hayo zaidi ya wapiga dili