Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya kuniruhusu kusafiri na mwanangu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Blacky, Dec 26, 2011.

 1. B

  Blacky Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni single mother na nina mtoto mwenye umri wa miaka 13 na ninataka kumchukua mwanangu niishi nae Uingereza ambapo nimepata ajira.

  Mzazi mwenzangu alikataa ujauzito nilipomwambia,Na tangu mwaka 98 hatujawi kumwona.Hatukuwahi kufunga nae ndoa wala kuishi nae.

  Naomba kujua kama kuna sheria Tanzania itakayonikataza kumchukua mwanangu.Jina la mzazi mwenzangu iliwekwa kwenye cheti cha kuzaliwa.

  Natanguliza shughurani kwa msaada wenu wana JF.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ndiye custodial parent wa mtoto, na kwa mujibu wa maelezo yako baba mtoto hayupo kwenye maisha yenu, hakuna cha kukuzuia hapo.
   
 3. B

  Blacky Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ndo custodial, unaelewa bongo hatuitaji ushaidi mwingi kuthibithisha, but ubalozini wanaitaji documents to prove that .Ndo maana nikaomba kujua kama kuna sheria yoyote that can advise me more?, or what docs should I supply to prove I am the only one who has full custody
   
 4. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Si uandike ukweli kama unaulizwa katika hiyo fomu juu ya mtoto wako. Ila sidhani kama unatakiwa kuwa na wasiwasi sababu wewe ndie umemlea na unaenda kikazi sio kwamba unamwiba mtoto.
  Kaka baba mtoto hana kitu na nyie yaani hajagi kumuona mtoto hadi leo basi tena endelea as hamna mawasiliano na sio part ya maisha ya mwanao. Ila kama mnawasiliana juu ya mtoto na wanaonana basi mwambie na kwenye fomu sema umemtaarifu ukiulizwa.
  Ila fomu nyingi za visa zinamaelezo zaidi na mengi juu ya nini wanataka au wanataka uwajibu. cha muhimu usiandike story kama barua maneno machache yenye point ni bora.
  In short hata huko uendako kuna single mothers wengi kama wewe na mababa hawapo nao kama wewe na wanaendelea na maisha na kuangaliwa na serikali esp wavivu wa kufanya kazi.

  Sasa kila kona andika mwanao ndio dependent wako na wewe tu ndio unaishi nae na hauna pa kumuacha hii ni kama ukiulizwa y unataka kwenda nae. Sababu ni under 16/18yrs haitakupa kazi

  Goodluck, acha kuwa na shaka kwenye ukweli.
   
 5. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napita tuu
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Documents to prove what? That you are the custodial parent? If the issue was never adjudicated in the court of law there will be no evidence.

  Wewe si ni mama yake? Kama wewe ni mama yake basi jina lako litakuwepo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Zaidi ya hapo labda vyeti vya kliniki kama unavyo. Wakati anaanza shule nani alienda kumwandikisha? Kama wewe ndo ulienda hakuna karatasi yoyote uliyopewa ambayo ina jina na sahihi yako na kuonyesha kwamba huyo ni mwanao?

  Kwa ujumla sioni ishu yoyote hapo ya kukuzuia. Ambaye atabisha kuwa mwana si wako na atoe ushahidi kuwa si wako.
   
 7. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ok nenda kwa Lawyer au polisi wakusainie document(utakazo tengeneza au kama wanazo) kuwa ni kweli wewe ndie mzazi pekee wa mtoto etc

  Najua kuna mchi ambazo wana lawyers ambao ni commissioners for oaths na unachosema na wakasaini unakuwa umeapa. Au nenda kortini wakupe doc inayosema wewe ni pekee mzazi mlezi wa mwanao. Kama una risiti za shule malipo kwenye jina lako etc matibabu hosp etc unaweza ongeza ila la kuapa ni muhimu kama umeombwa yaani kuwa na watu wa sheria.

  Good luck
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Hapa ninanusa harufu ya Baba wa mtoto kukimbiwa, through my experince mademu wa kibongo wakipata access za kazi mtoni basi mambo huwa shaghala bagara.
   
 9. B

  Blacky Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yako, yeye ndo aliyetukimbia, nilipomwambia nina ujauzito alipotea na sijawahi kumwona huu mwaka wa kumi na mbili, he is the looser not us pole
   
 10. B

  Blacky Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekupata, naitaji kupata affidavit kutoka mahakamani au lawyer, nina docs kama school receipts,hosp, etc
   
 11. B

  Blacky Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanataka docs to prove kuwa mimi ndo sole parent, mimi ndo biological mother and my name is on the child's birth cert, tatizo hapa ni kwa sababu niliandika jina la baba kwenye cheti cha kuzaliwa,ndo maana I need to prove that he was never there though he is the biological father
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa kuzaa na non responsible Father, ni ukichaa hata kama huna pesa kumkimbia mwanamke uliyempa ujauzito, lakini inashangaza hata ndugu zake huwafahamu?
  Naona mtoto hajatendewa haki kabisa, ni bora amjuwe baba yake hata kama hana msaada kwake. hapa nadhani kuna tatizo lenu wazazi.
   
 13. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ikiwa wewe ndiyo unaeishi na mtoto na Baba hajawai kufanya chochote zaidi ya kusababisha mimba, unatakiwa tu kutoa maelezo hayo unapoomba visa. cha muhimu ni kutumia mwanasheria unapojaza hizo form kwani mwanasheria atakuwa anajua maneno ya kuandika- waweza ujue unachotaka kusema , lakini namna ya kusema kikaleta maana inaweza kuwa ngumu ( hapa usifanye mchezo, atakae soma maelezo yako atayatafsiri vile ya livyo na siyo vinginevyo), nakushauri hayo maelezo ukijaza, ambatanisha na kiapo cha sheria (affidavit), ambacho kinaonyesha kuwa hilo unalosema juu ya huyo mtoto na mzazi mwenzio ni kweli tupu. hicho kiapo waweza pata mahakamani au kwa wakili yoyote.
   
 14. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kaka hizo vyeti vya kuzaliwa haitoshi. licha ya hivyo mazaga zaga mengine anatakiwa atoe commitment ambayo kama atakuja mto yoyote na madai yoyote yale juu ya kusafiri kwa huyo mtoto , madai yasiwabebeshe lawama ubaozi. na hiyo ni AFFIDAVIT tu
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Mtoto tayari ana passport?
   
 16. B

  Blacky Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama yeye mwenyewe alikimbia responsiblitiy, did u expect me to take my child kumnadi kwa familia yake? Nimejaliwa kwenda shule kidogo and so I choose to keep my baby and work hard to maintain him and to prove to fathers that women can also survive without you.Kama hakuweza kusimama kama mwanaume, sidhani anastahili kuitwa baba.

  Mwanangu has option to know him when he turns 18 and will then decide if he is woth knowing, kumbuka this is 21st century watoto wanajua haki zao na iwapo wazazi wote hawakushiriki kumlea, I think atakuwa na kazi ya ku prove to my son why he was never there and why did he run away!! iwapo mtoto atataka kumtafuta that is. I hope this will be one of the many lessons to men to stand up for their responsibilities and raise their kids
   
 17. B

  Blacky Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You are right, affidavit , will help during the interview as well, thanks for the insight
   
 18. B

  Blacky Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo anayo passpoti
   
 19. B

  Blacky Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kumbuka nilimpenda jinsi alivyokuwa, kwa hiyo issue ya kuwa na hela sio sababu ya kukataa ujauzito. Alikuwa na nafasi ya kuwa karibu na mwanae kwa kumtembelea muda wowote but he choose to run away, so sioni kosa nililofanya zaidi ya kubeba mimba na mwanaume kama yeye- Naamini mwanamke yeyote angejua kabla ya kuwa kwenye mapenzi na mwanaume wowote kuwa ni ovyo, naamini hatajaribu kuwa nae kabisa
   
 20. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi nimeona hili likifanyika hivyo...kuwashirikisha ndugu wa 'baba'...yaani hata kama 'baba' amekataa lakini kama mwanamke anao uhakika juu ya 'baba wa mtoto' na anawajua ndugu zake basi kwa namna moja ama nyingine atajitahidi mtoto ajue nasaba yake.

  Labda pengine katika maelezo yako hukuweka bayana circumstances za huyo baba kukataa ujauzito/mtoto. Kwa uzoefu wangu mwanaume yoyote anaweza kukataa ujauzito/mtoto kutegemeana na circumstances zilizopo....hata ndani ya ndoa kuna wanaume wanaweza kukataa ujauzito/mtoto.

  Sio kitu kibaya kwa mtoto kujua nasaba yake hasa kwa case yako ambapo inaonekana huna doubt yoyote kuhusu baba wa mtoto (Umesema hapo mwanzo jina la mzazi mwenzako liliwekwa kwenye cheti cha kuzaliwa) pamoja na kuwa baba alikataa. Linapokuja suala la malezi ni vema zaidi kutizama maslahi na mustakabali wa mtoto kabla ya nyinyi wazazi.
   
Loading...