Sheria ya kubeba silaha Zanzibar na hekima ya watawala

Pamoja na kwamba ni mara chache wamasai wamekuwa wakizitumia vibaya hizo silaha, lakini bado ukweli ni kwamba wanatembea na silaha.

Unapotembea na silaha huku wengine wakiwa hawana silaha, unawaweka wale wasio na silaha kwenye mazingira hatarishi endapo patatokea hali ya sintofahamu miongoni mwenu, hali ambazo mara nyingi huja pasipo tarajiwa.

Huku bara tumekuwa tukiishi nao kwa mazoea tu, waendelee kutembea na silaha zao, lakini hiyo haina maana kwamba miongoni mwao hawawezi kuja kuleta madhara kwa members wengine wa jamii, hii haina maana kwamba miongoni mwao hawataweza kumdhuru yeyote mbele ya safari, tusisubiri majanga ndio tuamke.

Sioni ubaya wamasai kubaki na hizo alama nyingine za kuwatambulisha ukiondoa sime, rungu, na fimbo, na wala siamini ili huo utambulisho wao ukamilike basi ni lazima sime, rungu, na fimbo, viwepo, kwangu naona ni mazoea tu, suala la kulinda mila na desturi lazima liende sambamba na kulinda usalama wa wengine, hili tukubaliane.

- Huwezi kusema unalinda mila na desturi zako kwa kuweka usalama wa wengine rehani, hizo mila na desturi zako haziwezi kuwa juu ya usalama wa raia wengine, masai sio malaika, wanaweza ghafilika popote, dakika yoyote, tuanze kulia bila sababu.

Mwisho naona tukubaliane pia kwamba, wazanzibari nao wana nchi yao, wana maamuzi yao, na kwasababu miaka yote tumeamua kuwepo kwenye muungano usioeleweka, basi haya ndio matokeo yake, tuyavumilie hata kama wengine hamuyaelewi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mkuu Mawazo yako yaheshimiwe..
Kama silaha haitumiki kutimiza mabaya kwanini itufikirishe?
Tukumbuke kuwa hata wacheza karatee na Masumbwi pia na wenyewe wanayembea na silaha zao ambazo ni viungo vyao na wenyewe tuwakate viungo vyao ili wasio tishio kwa wengine?

Tumezaliwa tumekuta Tamaduni hizo ni kama Tunu kwa Taifa..
Ni tamaduni pekee iliyibaki Africa wazungu na wageni kutoka mbali huja kuiona tamaduni hiyo kujifunza imewezaje kubaki licha ya kuwa na Mabadiliko ya Kitechnolojia..

Halafu kuna waj***a fulani wanataka kuifuta Tamaduni hiyo na wewe unawachekea na kuwasifu?
Ni mpu**** tu anaweza kushabikia huu utoto
 
Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazokataza kupigana hadharani au kificho.

Lakini naomba nitofautiane na hatua iliyochukuliwa na serikali ya Zanzibar, Amri kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime/visu vyao, Ni Kauli Haramu na ya kibaguzi inayohatarisha muungano wa Tangabyika na Zanzibar.

Ifahamike kuwa Fimbo na Sime kwa Jamii za kimasai ni sehemu ya “vazi lao la asili”, ni Sehemu ya utamaduni wao, Ni Identity yao, na hivyo kujaribu kwa aina yoyote kuondoa kimoja wapo katika hivyo vinavyokuwa ndani ya mwili wa Masai ni kutangaza kuwafukuza Wamasi Zanzibar, Hili ni tangazo la kijinga limekurupukwa na mamlaka za Zanzibar!

Kwamiaka yote tangu kabla ya uhuru hadi leo, Jamii za Wamasai wapo Zanzibar na utamaduni wao wa visu/Sime na Fimbo, hakujawahi kuwa hatari kwa raia yoyote, Kwanini iwe leo baada ya Masai kujihami waliposhambuliwa na mgambo wa mji? Serikali ya Rais @dr.hmwinyi itafute jawabu la kumaliza mzozo huu sio kufunika kwakuwafukuza Wamasai, Tatizo liko kwa mamlaka za jiji, Tatizo liko kwa Wakuu wa Mikoa, na mamlaka zingine za jiji.

Unawazuia Wamasai wasibebe fimbo unataka Wabebe Vikapu vya Nazi na vigemeo vya Litembo? Unataka wabebe Usinga? Unataka wabebe karafuu? Noooo nooo tukatae unyanyasaji huu kwa jamii ya kimasai! Ukamilifu wa Masai ni fimbo na sime. Sasa unaka awe na shuka tu kama dera?

Kesho yataibuka Bara Wapemba watashambuliwa, Je serikali iweke amri wapemba wasizaliane kwa Wingi Bara ambao ni sehemu ya utamaduni wao? Nooo Nooo! Tukatae ubaguzi huu.

Mh Rais @dr.hmwinyi ili kunusuri maafa zaidi na kuoondoa hii taswira mbaya ya ubaguzi iliyotengenezwa na mamlaka za mji hapo Unguja, Ninakuomba na kukusihi Mh Rais, tengua hii kauli ya kibaguzi, Haifai kutolewa na kiongozi wa serikali katika ulimwengu wa leo! Madhara yake ni makubwa zaidi mbeleni.

Serikali ijifunze kutatua migogo kwa hekima na busara, Majibu ya hasira ya kiserikali yanaweza kuleta maafa zaidi kuliko kutatua, Nimeisikiliza kauli ikitolewa na yule kiongozi wa mjinibZanzibar (Unguja) ni wazi alitawaliwa na ghadhabu zaidi kuliko hekima ya kiuongozi, Amewahukumu Wamasai bila kujaribu kujua undani na kutafuta jawabu, Badala yake ametafuta jibu ambalo ni la hovyo zaidi!,

Nimesikitika sana kwa kauli hii ya serikali ya Zanzibar katika zama hizi za utandawazi na utandaridhi! Utengamano wa taifa letu ni muhimu kuliko hizi chuki zinazokolezwa na namlaka za nchi!

Na Yericko Nyerere
Screenshots_2024-02-03-09-50-29.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Yericko NyerereView attachment 2892694

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zingatia maneno haya hekima ya watawala
Tunapoenda shule kufunzwa tunaenda kufuta ujinga na kujifunza maarifa mapya ili tuweze kuishi vema kwenye dunia yenye muingiliano wa imani tamaduni na mila tofauti tofauti

Kila jamii ili iweze kuishi kwa amani, uhuru na muingiliano na jamii zingine hujitungia na kujiwekea sheria kanuni na taratibu mbalimbali kulingana na mahitaji ya nyakati.. Ukamilifu na ustawi wa hizi sheria ndani ya Jamii husika huwezeshwa na hekima ya viongozi waliokasimiwa kuongoza wengine
Kwahiyo hekima ya hali ya huu huhitajika popote penye sheria kanuni na taratibu toka kwa kiongozi husika

Tanganyika kwa sehemu kubwa kiutamaduni inabebwa na utambulisho wa jamii ya wamasai kwa sehemu kubwa huku wakifuatiwa na Wakwavi Wasandawe nk! Hawa pamoja na wimbi kubwa la elimu za wageni lakini wameweza kulinda utamaduni wao hadi leo hii.. Wanastahili pongezi kubwa!

Kwahiyo popote alipo Mmasai ni kielelezo cha utamaduni asilia usiochakachuliwa na kivutio kikubwa cha utalii kupitia
Kusokota nywele kwa mtindo wa sangita
Ndonya usoni
Kutoboa masikio
Mapambo ya shanga
Mavazi ya mashuka
Viatu vya kubazi za asili
Mshipi wa ngozi halisi ya mnyama
Sime
Rungu
Fimbo
Pamoja na kwamba kubeba sime rungu na fimbo kiasili ilikuwa ni kwa ajili ya kujilinda na kuonesha ukakamavu lakini hivyo vifaa vimekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wao na kichocheo kikubwa cha utalii.. Na ni mara chache mno huzitumia vibaya hizo zana

Kuna kitu kinaitwa urithi wa dunia hiki kimeletwa maalum kwa ajili ya kulinda maeneo, jamii, mimea na vitu vyote vilivyo katika kitisho cha kutoweshwa na dunia ya usasa .. Wamasai wanaingia huko!
Hivyo basi pamoja na sheria ya kutotembea na silaha visiwani Zanzibar lakini kuna hii hekima ya kujali na kuheshimu utamaduni wa wengine..

Wamasai Zenji si kitisho cha usalama kwa kutembea na sime zao zilizo kwenye ala wala fimbo wala rungu.. Hawa ni kivutio cha utalii na wanasaidia kuingiza mapato

Je sheria ya kuvaa almost nusu uchi inasemaje Zenji? Mbona hii inavumuliwa kwa watalii? Lakini inabomoa maadili ya Mzanzibari kwa sehemu kubwa sana ila mamlaka ziko kimya kabisa! Kwanini?

Kitisho kikubwa kabisa Zenji kwa sasa sio Wamasai na sime zao bali ni ushoga kwa vijana wa kiume, ulawiti, usagaji, ubakaji, biashara ya ngono na madawa ya kulevya!
Lakini cha kushangaza mamlaka badala ya kushughulika na haya ya msingi zimebaki kuwashughulikia wamasai wachache na rungu zao zisizoathiri Jamii..
Je mamlaka za Zenji zina masilahi gani kwenye
Ushoga?
Ulawiti?
Usagaji?
Ubakaji?
Biashara ya ngono?
Madawa ya kulevya?

Mshana umeupiga mwingi sana .Mambo mengine ni aibu kufanyika.Hivi hao wamasai ndiyo wameanza kuishi huko Leo?Kuna takwimu zozote za kiusalama zilizosababishwa na wamasai kubeba silaha zao za jadi?Kama zipo zitolewe na kama hakuna basi waache wamasai wetu.
 
Safi sana Nimeupenda Ushauri wa Yeriko..
Yericko Nyerere huyu Jasusi ana akili sana
 
Zingatia maneno haya hekima ya watawala
Tunapoenda shule kufunzwa tunaenda kufuta ujinga na kujifunza maarifa mapya ili tuweze kuishi vema kwenye dunia yenye muingiliano wa imani tamaduni na mila tofauti tofauti

Kila jamii ili iweze kuishi kwa amani, uhuru na muingiliano na jamii zingine hujitungia na kujiwekea sheria kanuni na taratibu mbalimbali kulingana na mahitaji ya nyakati.. Ukamilifu na ustawi wa hizi sheria ndani ya Jamii husika huwezeshwa na hekima ya viongozi waliokasimiwa kuongoza wengine
Kwahiyo hekima ya hali ya huu huhitajika popote penye sheria kanuni na taratibu toka kwa kiongozi husika

Tanganyika kwa sehemu kubwa kiutamaduni inabebwa na utambulisho wa jamii ya wamasai kwa sehemu kubwa huku wakifuatiwa na Wakwavi Wasandawe nk! Hawa pamoja na wimbi kubwa la elimu za wageni lakini wameweza kulinda utamaduni wao hadi leo hii.. Wanastahili pongezi kubwa!

Kwahiyo popote alipo Mmasai ni kielelezo cha utamaduni asilia usiochakachuliwa na kivutio kikubwa cha utalii kupitia
Kusokota nywele kwa mtindo wa sangita
Ndonya usoni
Kutoboa masikio
Mapambo ya shanga
Mavazi ya mashuka
Viatu vya kubazi za asili
Mshipi wa ngozi halisi ya mnyama
Sime
Rungu
Fimbo
Pamoja na kwamba kubeba sime rungu na fimbo kiasili ilikuwa ni kwa ajili ya kujilinda na kuonesha ukakamavu lakini hivyo vifaa vimekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wao na kichocheo kikubwa cha utalii.. Na ni mara chache mno huzitumia vibaya hizo zana

Kuna kitu kinaitwa urithi wa dunia hiki kimeletwa maalum kwa ajili ya kulinda maeneo, jamii, mimea na vitu vyote vilivyo katika kitisho cha kutoweshwa na dunia ya usasa .. Wamasai wanaingia huko!
Hivyo basi pamoja na sheria ya kutotembea na silaha visiwani Zanzibar lakini kuna hii hekima ya kujali na kuheshimu utamaduni wa wengine..

Wamasai Zenji si kitisho cha usalama kwa kutembea na sime zao zilizo kwenye ala wala fimbo wala rungu.. Hawa ni kivutio cha utalii na wanasaidia kuingiza mapato

Je sheria ya kuvaa almost nusu uchi inasemaje Zenji? Mbona hii inavumuliwa kwa watalii? Lakini inabomoa maadili ya Mzanzibari kwa sehemu kubwa sana ila mamlaka ziko kimya kabisa! Kwanini?

Kitisho kikubwa kabisa Zenji kwa sasa sio Wamasai na sime zao bali ni ushoga kwa vijana wa kiume, ulawiti, usagaji, ubakaji, biashara ya ngono na madawa ya kulevya!
Lakini cha kushangaza mamlaka badala ya kushughulika na haya ya msingi zimebaki kuwashughulikia wamasai wachache na rungu zao zisizoathiri Jamii..
Je mamlaka za Zenji zina masilahi gani kwenye
Ushoga?
Ulawiti?
Usagaji?
Ubakaji?
Biashara ya ngono?
Madawa ya kulevya?

Sent using Jamii Forums mobile app

Perceptions ya wadanganyika siiungi mkono.

Na mara kwa mara kuwahamasisha watz kuunga mkono chadema si kwa sababu ina viongozi waadilifu, bali kwasababu ya sera yao ya majimbo.

Sera ya majimbo ni aina ya utawala inayotoa mamlaka zaidi au mamlaka kamili kwa majimbo kujiamulia wenyewe. Mambo hayo ni pamoja na tamaduni zao.

Watu wa mwambao hawafanani wa wanyakyusa kule tukuyu. Wala hawafanani ktk vipaumbele.

Wakati mtu mnyakusa, mhehe na chaga hawako tayari tukiwaambia operasheni ondoa ulanzi na mbege, watu wa pwani pia hawako tayari operation okoa bandari.

Kwani kila mmoja ana uhuru zaidi wa kujiamulia nini kifanyeke.

Znz ni mfano mzuri wa mfumo wa serikali za majimbo ambapo ccm imeutengeza kwa znz pekee. Tunataka uhuru huo uwe kwa majimbo 10 kwa kuanzia.

Kwa hiyo muhimu tupiganie mfumo wa serikali za majimbo ili mjadala kama hii isiyo na tija msitumie muda mrefu kuijadili.
 
Ubaguzi wa wazanzibari upo wazi sana.
Wanatumia style ya kulalamika huku wakitukandamiza Wabara.
Wanalia huku wakitupiga
Mnaenda kutafuta Nini huko lakini?nyie wenyewe ndio mnajipendekeza Tanganyika kubwa hii mtu kuanzia katavi mpaka Mtwara kigoma mpk Songea mtu unaenda Mchambawima eti kutafuta sijui utalii sijui Nini vijana pigeni jembe huku acheni kujimix na hao mabwana waacheni kwao
 
Km ni hivyo na wao pia wasije kwetu.
Kila mtu abaki kwake
 
tuyavumilie hata kama wengine hamuyaelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Masai anaweza ingia na silaha zake mahakamani na benki?. Kila sehemu na sheria zake najua kule zanzibar sio ruhusa kumiliki silaha za moto. Sasa inakuwaje jamii ya kimasai iwe na ruhusa ya kutembea na silaha?.

Serikali kuu imeanza kuwa ondoa Masai ngorongoro kwenye makaazi yao ya karne na karne kwanini serikali ya zanzibar kuondoa wao kutembea na silaha imekuwa shida?.

Hivi hii jamii ya Masai kule wanapo ishi jinsia ya kike si hutembea maziwa nje mbona huku hawafanyi hivyo?.
 
Wanaingia bank na mahakamani bila shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kwamba ni mara chache wamasai wamekuwa wakizitumia vibaya hizo silaha, lakini bado ukweli ni kwamba wanatembea na silaha.

Unapotembea na silaha huku wengine wakiwa hawana silaha, unawaweka wale wasio na silaha kwenye mazingira hatarishi endapo patatokea hali ya sintofahamu miongoni mwenu, hali ambazo mara nyingi huja pasipo tarajiwa.

Huku bara tumekuwa tukiishi nao kwa mazoea tu, waendelee kutembea na silaha zao, lakini hiyo haina maana kwamba miongoni mwao hawawezi kuja kuleta madhara kwa members wengine wa jamii, hii haina maana kwamba miongoni mwao hawataweza kumdhuru yeyote mbele ya safari, tusisubiri majanga ndio tuamke.

Sioni ubaya wamasai kubaki na hizo alama nyingine za kuwatambulisha ukiondoa sime, rungu, na fimbo, na wala siamini ili huo utambulisho wao ukamilike basi ni lazima sime, rungu, na fimbo, viwepo, kwangu naona ni mazoea tu, suala la kulinda mila na desturi lazima liende sambamba na kulinda usalama wa wengine, hili tukubaliane.

- Huwezi kusema unalinda mila na desturi zako kwa kuweka usalama wa wengine rehani, hizo mila na desturi zako haziwezi kuwa juu ya usalama wa raia wengine, masai sio malaika, wanaweza ghafilika popote, dakika yoyote, tuanze kulia bila sababu.

Mwisho naona tukubaliane pia kwamba, wazanzibari nao wana nchi yao, wana maamuzi yao, na kwasababu miaka yote tumeamua kuwepo kwenye muungano usioeleweka, basi haya ndio matokeo yake, tuyavumilie hata kama wengine hamuyaelewi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wa bandiko lako...paragraph ya mwisho, basi ni vizuri ieleweke wazi, Wazanzibari wabakie na Zanzibar yao na utaratibu wao na Tanganyika ibakie na utaratibu wake....

I
 
Sime iko ndani ya ala ngumu imara
Ala imechomekwa kwenye mshipi imara kiunoni
Rungu nayo imefutikwa kiunoni.. Na ni mara chache unaweza kuviona vyote kwakuwa hufichwa kwenye shuka
Kinachoweza kuonekana muda wote ni fimbo na sidhani kama hii vinaweza kuingia kwenye kundi la silaha zilizokatazwa
Wamasai nao ni binadamu wenye taratibu na miiko hao sio wapuuzi wa kutembea na sime kali bila usalama wa kutosha na ndio maana hata kwenye purukushani zilizoonekana kwenye videos kilichotumika ni fimbo tuu, hakukuwa na kirungu wala sime

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa naona kinachogomba ni wamasai wanatembea na silaha, au hawatembei na silaha?

Kama wanatembea nazo, no matter ziko wapi, bado hawa jamaa wana advantage ya kujilinda endapo ugomvi utatokea dhidi ya tule asiye na silaha, na kuna uwezekano mkubwa wakazitumia silaha zao kuwajeruhi kwa haraka wale wasiokuwa na silaha.

Suala la kuzifunika na mashuka kwenye ala kwangu naona sio zito linalowapa sababu ya kuruhusiwa kutembea na silaha, naona wamasai wabaki na alama nyingine za kimila kama utambulisho wao, silaha ikiwemo fimbo waziache kabisa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mawazo yako yaheshimiwe..
Kama silaha haitumiki kutimiza mabaya kwanini itufikirishe?
Tukumbuke kuwa hata wacheza karatee na Masumbwi pia na wenyewe wanayembea na silaha zao ambazo ni viungo vyao na wenyewe tuwakate viungo vyao ili wasio tishio kwa wengine?

Tumezaliwa tumekuta Tamaduni hizo ni kama Tunu kwa Taifa..
Ni tamaduni pekee iliyibaki Africa wazungu na wageni kutoka mbali huja kuiona tamaduni hiyo kujifunza imewezaje kubaki licha ya kuwa na Mabadiliko ya Kitechnolojia..

Halafu kuna waj***a fulani wanataka kuifuta Tamaduni hiyo na wewe unawachekea na kuwasifu?
Ni mpu**** tu anaweza kushabikia huu utoto
Unakosea kulinganisha viungo vya mwili wa binadamu, na silaha zinazotengenezwa na binadamu, kwanini basi hao wamasai wakienda jandoni nao wasianze kupewa mazoezi ya karate? au unataka wote tuanze kutembea na fimbo huko barabarani kujilinda?!

Unaposema "kama silaha haitumiki kutimiza mabaya" sijui una maana gani, kazi ya silaha ni kujilinda endapo tatizo litatokea, sasa kwanini wewe uwe umejilinda siku zote tofauti na wengine? mila na desturi za kundi fulani haziwezi kuwa juu ya usalama wa wengine.

Suala la kuzaliwa na kukuta tamaduni hivyo tuziache ni uvivu wa kufikiri, zipo tamaduni zilizopitwa na wakati zinapigwa vita, mfano ukeketaji na nyingine.

Hivyo hata hii ya wamasai kutembea na silaha dhidi ya wasio na silaha ni bomu tu linalosubiri kulipuka, leo mnawatetea kwasababu bado hawajaharibu, siku wakiharibu najua hamtaonekana, wazanzibari sasa ndio wameamua kujiepusha na maafa yanayoweza kuzuilika mapema, waheshimiwe na maamuzi yao, sisi bado tuko gizani tunasubiri kwanza yatukute ndio tuamke.

NB.
Matumizi ya lugha kali ni dalili ya kuishiwa hoja, kutokuwa na uhakika juu ya kile unachotetea, kulazimisha mambo, na kutokujiamini.

Sheria imeadress Hivyo Kuwa "Kama sheria haitumiki Kutimiza mabaya"

Hivi umeisoma sheria au umeandika kwa sababu ya Mihemko na chuki Dhidi ya wamaasai..
Kwahyi kumbe shida yako ni Mtu kujilinda peke yake na sio wengine 🤣🤣

Mkuu ulichoondika chote ni Ufinyu wa mawazo...
Hatukatai kwamba wamefanya makosa kushambulia Askari ila kuzuia mila kwa kigezo cha kwamba wanaweza kufanya hayo tena...

Ni sawa na kuzuia watu Kutumia Kisu Kukatia Viungo majumbani kwa sabbu wiki.kadhaa watu waliuawana kutumia Visu..
Tubadilike tuache mawazo mgando na ya kibaguzi
 
Sheria imeadress Hivyo Kuwa "Kama sheria haitumiki Kutimiza mabaya"

Hivi umeisoma sheria au umeandika kwa sababu ya Mihemko na chuki Dhidi ya wamaasai..
Kwahyi kumbe shida yako ni Mtu kujilinda peke yake na sio wengine

Mkuu ulichoondika chote ni Ufinyu wa mawazo...
Hatukatai kwamba wamefanya makosa kushambulia Askari ila kuzuia mila kwa kigezo cha kwamba wanaweza kufanya hayo tena...

Ni sawa na kuzuia watu Kutumia Kisu Kukatia Viungo majumbani kwa sabbu wiki.kadhaa watu waliuawana kutumia Visu..
Tubadilike tuache mawazo mgando na ya kibaguzi
Sheria ime address kitu gani ulichoandika hapo juu, "kama sheria haitumiki kutimiza mabaya" ndio sheria ya wapi hiyo? Hebu iweke hapa tuione.

Kila nikikusoma naona hata hujui unachoandika, na mifano unayotoa haina relevance yoyote, japo unajiona msomi wa sheria.

- Unaweza vipi kujilinda peke yako dhidi ya asiye na silaha? unaogopa nini.!! Hivi unanielewa nachoandika kweli?

Mimi kukataa masai wasitembee na sime na fimbo sio chuki, ni usalama wa wengine, au mnawaona masai malaika hawawezi kughafilika wakaumiza wengine kwa hizo silaha zao? kama jana hawakuumiza, haina maana kesho pia hawataumiza, wacheni kupiga ramli kwenye usalama wa wengine.

Unapoleta habari ya watu wasizuiwe kutumia visu majumbani hivi unajiona kabisa umeandika kitu chenye mantiki? kwani visu huwa tunatembea navyo barabarani?! kisu chako nyumbani kwako na changu nyumbani kwangu, vina shida gani kati yetu?! sio kawaida yetu.

Punguza "ego" nisome kwa makini unielewe kama ukipenda, ukigoma pia it's up to you, hata kama ukiamua kuja na mifano isiyo na kichwa wala miguu huku ukichekelea!.

Mwisho, hauna hata upeo wa kujua nani mwenye mawazo mgando kati yetu, nikufundishe kidogo, mawazo mgando ni kukomaa na mila na desturi bila kujali athari zinazoweza kusababisha kwa jamii, uko empty unajiandikia tu; very sorry for you "doctor"!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Bi. @fatma_karume habari yako?

Bunafsi ninalo swali dogo sana tu lakini linanitatiza sana; Mji Mkongwe (Stone Town) ni sawa na ilivyo Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)

Maeneo yote mawili yanatambuliwa na UNESCO kama sehemu ya urithi wa Dunia, kwa kuwa na umuhimu wa kitamaduni, kihistoria, kisayansi.

Wakazi katika eneo la Mji Mkongwe hawaruhusiwi kuendeleza makazi yao na UNESCO walisema Mji mkongwe Zanzibar upo hatarini kutoweka.

Nyumba za Mji Mkongwe zilijengwa tangu mwaka 1830, wakati Sultani Sayyid Said alipohamisha mji mkuu wake kutoka Omani kuja Unguja.

Jumba la Maajabu (Beit-al-Ajaib) lilijengwa mwaka 1883 kwa amri ya Sultani Sayyid Barghash bin Said Al-Busaid. Mtoto wa Said bin Sultani,

Said bin Sultani au Sayyid Said alikuwa Sultani wa pili wa Zanzibar, aliyoitawala tangu 1870 hadi 1888. alikuwa Sultani wa Maskat, Oman na Zanzibar.

Jengo hilo likapewa jina la “Nyumba ya Maajabu” kwa sababu ya kuwa jengo la kwanza Zanzibar kuwa na umeme na eleveta. Lilianguka mwaka 2020.

Kwanini wakazi wa Mji Mkongwe (Stone Town) hawahamishwi kama ambavyo Maasai wanaoishi tangu zamani Ngorongoro wanavyohamishwa?

Kwanini serikali ya Tanzania isione faida za kuulinda Mji Mkongwe (Stone Town) kama inavyojinasibu kutaka kulinda ikolojia ya eneo la Ngorongoro?

Wilaya ya Ngorongoro ina ukubwa wa kilometa za mraba 14,036. Mara tano (5) ya eneo lote la Zanzibar ambayo ina ukubwa wa kilometa za mraba 2,462

Eneo la kwanza; chini ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ukubwa wa kilometa za mraba 8,292 sawa na 59% za eneo lote la Wilaya ya Ngorongoro.

Eneo la pili; pori Tengefu la Loliondo linalojumuisha Tarafa ya Loliondo na sehemu ya Tarafa ya Sale lenye ukubwa wa kilometa za mraba 4,000 sawa na 28.4%

Eneo la tatu; pori tengefu la ziwa Natron linalojumuisha sehemu ya Tarafa ya Sale lenye ukubwa wa kilometa za mraba 1,744 sawa na 12.4%

Mantiki ya takwimu hizi ni kuonesha kwamba, Maasai hawa wameporwa eneo kubwa sana la ardhi yao, wengine wameamua kukimbilia huko Zanzibar.

Wameporwa ardhi kubwa zaidi ya mara tano ya ardhi yote ya Zanzibar. Hawa wanazo tamaduni zao. Tamaduni zao ni asili yao. Mnataka waache asili yao?

Vazi la Maasai ni costume/ensemble. Vazi linakamilika kwa kuwepo vitu kama sime, rungu au fimbo. Utamaduni wa mtu ndiyo utu wake.

Walihama kutafuta makazi mapya; sasa hata Zanzibar wanaambiwa waondoke kama hawataki kuacha sime, fimbo, rungu zao ndani. Huo umasaai gani?

Brigedia Mtikila, MMM.
20240205_051548.jpg
20240205_051543.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom