nilipita maskani moja leo jioni (maskani ya vijana)nikakuta mada ya mchepuko salama kama ifuatavyo
Muhimu :Mchepuko sio dili,kuna sababu ya msingi ya wewe kukubali kuwa na mume /mke ulienae sasa,jaribu kumfanya mwenza wako rafiki ili ujisikie kuwa karibu nae kila wakati,mchepuko utapelekea matatizo katika ndoa yako na pia unaweza kukupelekea kupata UKIMWI
Kila unapopiga hatua kumfuata mchepuko kumbuka pia familia yako,watoto wanaokutegemea,jiulize pia ni kwa nini unataka kufanya hivyo na utapopata majibu yake yafanyie kazi
Usijipe moyo sana utatumia condom kwa sababu wengi hatujui matumizi sahihi ya hiyo kitu tena tunaitumiaga siku za mwanzo tu,
NB usizingatie hayo mazungumzo ya maskani
- kuwa na namba ya simu ambayo wife/mume hataijua hii uitumie kuwasiliana na mchepuko
- nunua condom wakati ukienda gesti ucnunue siku kabla wife akiona ni msala,ht kama zipo gesti tumia ulizokuja nazo,
- kuwa na mchepuko ambae ni mrembo/handsome hata ukikamatwa nae huta juta,ili hata ukitembezwa uchi watu wakuonee wivu
- siku za kukutana na mchepuko kwenye mambo yetu hakikisha umekutana na mwenza wako japo cha kuchangamshia damu ili ukurudi ile sbbu ya nilikuwa bize leo jioni nimechoka sana ipate nguvu
- tembea na sabuni au kabla ya kuingia gesti hakikisha umenunua sabuni mnayotumia home hapa nafikiri sabuni za gesti wote mnazijua harufu yake,