Wadau hivi sheria au miongozo ya wizara ya utumishi inasema nini kuhusu mshahara wa mwajiliwa wa serikali pindi akipewa ruhusa na mwajili wake ili ahudhurie mafunzo ya muda mrefu shuleni?Je hana haki ya kupata mshahara wake?kama anapata je ni full salary au asilimia fulani tu ya full salary yake?
msaada jamani tafadhali.
msaada jamani tafadhali.