Serikali haina hela ya kuchangia hiyo 51% shares. Hizo shares alizokuwa amepewa mwanzo aliziuza kwa sababu alikuwa hana uwezo wa kuchangia gharama za uendeshaji.
Tuongeze tu mrabaha na tufuatilia kujua kiasi halisi kinachopatikana na kuuzwa ili hatimaye tupate kodi stahiki.
Ila twaweza pia ku-retain ownership ya warau 15%.
Maccm mungu amewanyima akili, serikali ipate shares 51% kwa lipi? Huyo mjinga gani atakuja kuwekeza ili kunufaisha wavivu?,Habari JF..
Shikamoo Mh. Rais wangu wa moyoni JPM, Ubarikiwe always
Ushauri wangu mkubwa leo kwa Mh. Rais, with all my IQ looking ins & outs za Madini na Gas yetu ni..
1: Serikali 51%... Shares
2: Investors 49% .... Shares
Hapo tutakuwa na win - win situation, na serikali ikiwa na 51% shares ndio mmiliki mkubwa hivyo Ana maamuzi ya mwisho ktk Madini na Gas yetu.. Na sbb madini ni yetu ni lazima tuwe na 51% of shares tuna kila sbb ya kuwa na 51% shares.. So baada ya gharama za uzalishaji kutolewa, Serikali inachukua 51% shares zake na Investors wanachukua 49% shares zake.. Full stop...
Mambo sijui ya mrabaha, sijui huduma kwa jamii, sijui nini na nini ni kufuta zote.. Hazina maana, ni uwizi tu..
Serikali ikipata 51% shares zake itahudumia wananchi wake kwa kila kitu.. Sbb hapo sasa ni win-win situation.. Hakuna kuibiwa tena.. Sheria zingine za kiuwizi tupa kuleeee.. Botswana walifanya hivyo nadhani wamefanikiwa mnooooooo, hadi wanakopesha IMF, imagine..
Huu ni ushauri mkubwaaaa sanaaaa sanaaaa
Asante sana Mh. Rais wetu wa kipekee.. Tuokoe baba JPM
Stay blessed always..
View attachment 525813
View attachment 525812
kwanza acacia wanaliuza hilo kampuni lilishawashinda linunueni kama mnalitaka.
Utafifiti ulifanywa na serikali ya Uingereza enzi za ukoloni wa Tanganyika. Ilifanyika tena na serikali ya Tanzania enzi za Mwalimu Nyerere. Kampuni toka Sweden ikaomba kuyachimba kwa ubia na serikali wa 49% share ya serikali na 51% share za kampuni ya Sweden. Nyerere alikataa, alitaka serikali ndiyo iwe na 51% shares. Akawatimua hao wa Swedish. Akasema madini hayaozi, yaendelee kukaa huko chini hadi serikali itakapopata uwezo wa kuyachimba yenyewe hata kama uwezo huo utachukua miaka 100 kupatikana.
51% will require the capital injection equivalent to that amount. Hilo likiwezekana, why notHabari JF..
Shikamoo Mh. Rais wangu wa moyoni JPM, Ubarikiwe always
Ushauri wangu mkubwa leo kwa Mh. Rais, with all my IQ looking ins & outs za Madini na Gas yetu ni..
1: Serikali 51%... Shares
2: Investors 49% .... Shares
Hapo tutakuwa na win - win situation, na serikali ikiwa na 51% shares ndio mmiliki mkubwa hivyo Ana maamuzi ya mwisho ktk Madini na Gas yetu.. Na sbb madini ni yetu ni lazima tuwe na 51% of shares tuna kila sbb ya kuwa na 51% shares.. So baada ya gharama za uzalishaji kutolewa, Serikali inachukua 51% shares zake na Investors wanachukua 49% shares zake.. Full stop...
Mambo sijui ya mrabaha, sijui huduma kwa jamii, sijui nini na nini ni kufuta zote.. Hazina maana, ni uwizi tu..
Serikali ikipata 51% shares zake itahudumia wananchi wake kwa kila kitu.. Sbb hapo sasa ni win-win situation.. Hakuna kuibiwa tena.. Sheria zingine za kiuwizi tupa kuleeee.. Botswana walifanya hivyo nadhani wamefanikiwa mnooooooo, hadi wanakopesha IMF, imagine..
Huu ni ushauri mkubwaaaa sanaaaa sanaaaa
Asante sana Mh. Rais wetu wa kipekee.. Tuokoe baba JPM
Stay blessed always..
View attachment 525813
View attachment 525812
Nimekuja na kukisoma nilichokiandika. Mbona kiko sawa tu.Njoo usome ulichoandika