Sheria mpya ya madini iwe 51% serikali na 49% mwekezaji.. Full stop

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
17,661
18,963
Habari JF..

Shikamoo Mh. Rais wangu wa moyoni JPM, Ubarikiwe always

Ushauri wangu mkubwa leo kwa Mh. Rais, with all my IQ looking ins & outs za Madini na Gas yetu ni..

1: Serikali 51%... Shares

2: Investors 49% .... Shares

Hapo tutakuwa na win - win situation, na serikali ikiwa na 51% shares ndio mmiliki mkubwa hivyo Ana maamuzi ya mwisho ktk Madini na Gas yetu.. Na sbb madini ni yetu ni lazima tuwe na 51% of shares tuna kila sbb ya kuwa na 51% shares.. So baada ya gharama za uzalishaji kutolewa, Serikali inachukua 51% shares zake na Investors wanachukua 49% shares zake.. Full stop...

Mambo sijui ya mrabaha, sijui huduma kwa jamii, sijui nini na nini ni kufuta zote.. Hazina maana, ni uwizi tu..

Serikali ikipata 51% shares zake itahudumia wananchi wake kwa kila kitu.. Sbb hapo sasa ni win-win situation.. Hakuna kuibiwa tena.. Sheria zingine za kiuwizi tupa kuleeee.. Botswana walifanya hivyo nadhani wamefanikiwa mnooooooo, hadi wanakopesha IMF, imagine..

Huu ni ushauri mkubwaaaa sanaaaa sanaaaa

Asante sana Mh. Rais wetu wa kipekee.. Tuokoe baba JPM

Stay blessed always..

Screenshot_2017-06-17-02-14-04.png

Screenshot_2017-06-17-02-09-43.png
 
Wote tunapenda iwe hivi lakini kama wanavyosema, "tunaangamia kwa kukosa maarifa".
Huwezi kudai 51% wakati waajiriwa 10,000 serikalini pekee wakiwa na vyeti feki hadi wakuu wa mikoa na hapo hujagusa wenye elimu feki na sekta binafsi! Tukifanikiwa kurekebisha hapo tunaweza pata hata 85%.
 
Full stop.

Tunaweza kabisa kufanya hivyo..

Or Serikali 60% shares and Investors 40%..

Hapo tutakuwa tumefunga kazi.. Sbb kodi tunaibiwa mnooooooooo na hatupati kituuuuuuuuuuuuuuuuu..

Dawa ni shares tu.. Full Stop
 
Huo sio ushauri mzuri! kwasababu muwekezaji anaingiza mtaji anatoa ajira serikali ichukue 36%
 
Uko way too far behind kuhusu investments.. Seek to learn more

Serikali yafaa hata ichukue 60% and investors 40%.. Hasa ktk Madini na Gas.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari JF..

Shikamoo Mh. Rais wangu wa moyoni JPM, Ubarikiwe always

Ushauri wangu mkubwa leo kwa Mh. Rais, with all my IQ looking ins & outs za Madini na Gas yetu ni..

1: Serikali 51%... Shares

2: Investors 49% .... Shares

Hapo tutakuwa na win - win situation,
na serikali ikiwa na 51% shares ndio mmiliki mkubwa hivyo Ana maamuzi ya mwisho ktk Madini na Gas yetu.. Na sbb madini ni yetu ni lazima tuwe na 51% of shares tuna kila sbb ya kuwa na 51% shares.. So baada ya gharama za uzalishaji kutolewa, Serikali inachukua 51% shares zake na Investors wanachukua 49% shares zake.. Full stop...

Mambo sijui ya mrabaha, sijui huduma kwa jamii, sijui nini na nini ni kufuta zote.. Hazina maana, ni uwizi tu..

Serikali ikipata 51% shares zake itahudumia wananchi wake kwa kila kitu.. Sbb hapo sasa ni win-win situation.. Hakuna kuibiwa tena.. Sheria zingine za kiuwizi tupa kuleeee.. Botswana walifanya hivyo nadhani wamefanikiwa mnooooooo, hadi wanakopesha IMF, imagine..

Huu ni ushauri mkubwaaaa sanaaaa sanaaaa

Asante sana Mh. Rais wetu wa kipekee.. Tuokoe baba JPM

Stay blessed always..
jamaa una akili sana...na pia kwenye hiyo 49% wafanye joint venture na kampuni za wazawa ili sehemu ya pato irudi directly kwa wananchi
 
Serikali haina hela ya kuchangia hiyo 51% shares. Hizo shares alizokuwa amepewa mwanzo aliziuza kwa sababu alikuwa hana uwezo wa kuchangia gharama za uendeshaji.

Tuongeze tu mrabaha na tufuatilia kujua kiasi halisi kinachopatikana na kuuzwa ili hatimaye tupate kodi stahiki.

Ila twaweza pia ku-retain ownership ya warau 15%.
 
Habari JF..

Shikamoo Mh. Rais wangu wa moyoni JPM, Ubarikiwe always

Ushauri wangu mkubwa leo kwa Mh. Rais, with all my IQ looking ins & outs za Madini na Gas yetu ni..

1: Serikali 51%... Shares

2: Investors 49% .... Shares

Hapo tutakuwa na win - win situation,
na serikali ikiwa na 51% shares ndio mmiliki mkubwa hivyo Ana maamuzi ya mwisho ktk Madini na Gas yetu.. Na sbb madini ni yetu ni lazima tuwe na 51% of shares tuna kila sbb ya kuwa na 51% shares.. So baada ya gharama za uzalishaji kutolewa, Serikali inachukua 51% shares zake na Investors wanachukua 49% shares zake.. Full stop...

Mambo sijui ya mrabaha, sijui huduma kwa jamii, sijui nini na nini ni kufuta zote.. Hazina maana, ni uwizi tu..

Serikali ikipata 51% shares zake itahudumia wananchi wake kwa kila kitu.. Sbb hapo sasa ni win-win situation.. Hakuna kuibiwa tena.. Sheria zingine za kiuwizi tupa kuleeee.. Botswana walifanya hivyo nadhani wamefanikiwa mnooooooo, hadi wanakopesha IMF, imagine..

Huu ni ushauri mkubwaaaa sanaaaa sanaaaa

Asante sana Mh. Rais wetu wa kipekee.. Tuokoe baba JPM

Stay blessed always..
Nadhani mtoa mada huelewi maana ya ''win win situation"....ukitaka nikueleweshe nambie......hapo ndo utajua kwanini hata zile 15% mgodi wa Bulyanhulu zilizokuwa zinamilikiwa na Stamico zilitushinda tukaamua kuuza ukabaki na 5% na bado hata hizo zilitushinda tukaamua kuziuza pia.(pamoja na kuwepo uwezekano wa maslahi binafsi wa kiongozi aliyekuwepo kipindi kile,lakini kulikuwa na siri kubwa mnoo nyuma ya pazia).....
 
Kabisa.
Amen kwa baraka za Rais wetu.
 
We ndio bongolala.. inawezekana na kuna vivid examples za nchi nyingi duniani and it works.. Acha kuturudisha nyuma.. Wale viongozi waliopita tunajua yote hayo unayosema, hatutaki kurudi huko.. Ndio tunaanza na mikataba mipya..
Acha kusema haiwezekani, you black minded and black skinned.. Utaniudhi
 
Back
Top Bottom