madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 320
- 382
Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (2008), inaelekeza kuwa, ni kosa na ni kinyume cha Sheria kwa mfuko wowote wa Pensheni kuandikisha wanachama waliokwisha andikishwa na mfuko mwingine.
Sheria inaelekeza pia Mfanyakazi ambaye hajawahi kujiunga na mfuko wowote wa Pensheni au anayeajiriwa kwa mara ya kwanza anao uhuru wa kuchagua mfuko wowote Kati ya mifuko ya pensheni iliopo.
Hivyo Mfanyakazi anapaswa kuwa mwanachama wa mfuko mmoja tu wa Pensheni.