Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Hivi karibuni Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya Elimu inayo kandamiza wanaume tuuu.
Katika sheria hii mwanaume akifanya mapenzi na mwanafunzi au kumpa Mimba adhabu yake ni kifungo miaka 30 jela.
Lakini mwanamke hata awe ajuza akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kiume na hata kupewa Mimba sheria imekaa kimya tuu, hakuna adhabu.
Hii ni double standard kwa wanawake na haikubaliki kabisaaa. Vijana wetu wa kiume wanarubuniwa na majimama badala ya kusoma wanapotezewa Muda wao na kugawa uroda kwao.
Au wanaona wanaume wanapata utamu wakiwa na hiyo miji mamaa?