Sheria kandamizi kwa wanaume hii.

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Hivi karibuni Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya Elimu inayo kandamiza wanaume tuuu.

Katika sheria hii mwanaume akifanya mapenzi na mwanafunzi au kumpa Mimba adhabu yake ni kifungo miaka 30 jela.

Lakini mwanamke hata awe ajuza akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kiume na hata kupewa Mimba sheria imekaa kimya tuu, hakuna adhabu.

Hii ni double standard kwa wanawake na haikubaliki kabisaaa. Vijana wetu wa kiume wanarubuniwa na majimama badala ya kusoma wanapotezewa Muda wao na kugawa uroda kwao.

Au wanaona wanaume wanapata utamu wakiwa na hiyo miji mamaa?
 
Tunakazi sisi kama kauli mbiu ya mzee...
au wanataka kupunguza ongezeka la watu.!! mhh lkn kihivi natomana getegete
 
Kiukweli sheria ilitakiwa pia iangalie upande wa pili maana hata wanawake hali invyoonyesha wanapenda sana kutembea na vijana wadogo ambayo kimsingi ni ubakaji, sasa kama haitamwangalia kijana wa kiume, basi itakuwa haina maana
 
Hivi karibuni Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya Elimu inayo kandamiza wanaume tuuu.

Katika sheria hii mwanaume akifanya mapenzi na mwanafunzi au kumpa Mimba adhabu yake ni kifungo miaka 30 jela.

Lakini mwanamke hata awe ajuza akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kiume na hata kupewa Mimba sheria imekaa kimya tuu, hakuna adhabu.

Hii ni double standard kwa wanawake na haikubaliki kabisaaa. Vijana wetu wa kiume wanarubuniwa na majimama badala ya kusoma wanapotezewa Muda wao na kugawa uroda kwao.

Au wanaona wanaume wanapata utamu wakiwa na hiyo miji mamaa?

Serekali inatakiwa iiangalie hii sheria iendane vilevile na policy zote za kuhusu mahusiano kwani tutawachanganya watoto wa Kiume. Sera inasema Vijana watapata taarifa na huduma za kuhusu afya ya uzazi. Sasa Kijana wa miaka 18 mfano unampa huduma ya afya ya Uzazi unatarajia nini? Ataenda kwa umri wa 19 na kuendelea. ( Naomba nieleweke sifagilii wasichana kuanza ngono mapema La hasha, kwani mi ni muasisi wa Kuabstain) ila kwa kuwa hii ni sheria lazima pia kuwalinda vijana as well. ( pamoja na kuwa ageing inaendana na umri) inaweza kuwa ngumu sana kwa mfano kumtofautisha binti wa miaka say 19 na 17. Utunzi wa hii sheria ungeangalia mambo mengi sana. Kwanza ingewekwa sheia ya kusema Msichana marufuku kujihusisha na kujamiiana kabla ya umri wa miaka 18! Inawezekana Kijana akakumbwa na adhabu hata kwa kudanganywa umi na binti. Kweli tupige vita wanaume kujihusisha na wasichana wadogo at the same time wawe protected na wao kwa mazingira fulani. Mfano hata sera ya Kuwa msichana. mvulana ana haki ya huduma za afya ya uzazi nayo iwe reviewed. Shera kama hizi zilipaswa kuhusishwa watu wa sector mbalimbali ikiwa pamoja na Afya, Psychologists etc. ili sheria inapotungwa iwe practical. All in all napinga kwa nguvu zote wanaume kujihusisha na ndono na watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom