sheria za ndoa za nchi ni tofauti kwa Mlutheri na Mlokole?unasema ndoa ya kanisani wewe ni dhehebu gan,
sheria za ndoa za nchi ni tofauti kwa Mlutheri na Mlokole?
Ndio maana waislam wana ndoa nne moja ikizingua tatu zinazamini pambano
Mnajidai mkoana hakuna kuachana uku vijumba vidogo vya kumwaga mkizinguana ile akondoa mguu mwengine huyo
Ushauri kwa ndoa za kigalatia,,Peleka shauri kwa wazazi wako ili wakutane na wazazi wa mwenzako mtatue tatizo
sheria za ndoa za nchi ni tofauti kwa Mlutheri na Mlokole?
sheria za ndoa za nchi ni tofauti kwa Mlutheri na Mlokole?
Okay, kwa hiyo uwe Mkatoliki, Mujahidina, M-Sunni, Mpaganani, Mlokole, M-Shiite na dini ya kienyeji wote kwa sheria moja ya nchi, kabla ya kwenda mahakamani, ni lazima uanze kwenye bodi ya upatanishi!sheria ya ndoa ni moja LAW OF MARRIAGE ACT ...kwa masuala ya talaka lazima uanze marriage counciliation board.
uanze marriage counciliation board
Counciliation ndio nini?lazima uanze marriage counciliation board.
wana jamii habari za leo?
kuna ndugu mmoja alioa miaka 7 iliyopita kwa ndoa ya kanisaniakaishi na mkewe kwa kipindi cha miaka minne.baada ya hapo kukaanza matatizo katika ndoa hiyo ambayo alipelekea ugomvi wa kawaida kati ya wana ndoa wakafikia hatua wakapigana siku hiyo. binti akaamua aende kwao wazazi wakamshauri ampeleke mumewe polisi huku nyuma yule binti baada ya kumpeleka mumewe polisi akarejea nyumbani na kubeba kula kitu ndani ya nyumba na kuacha nyeupe akaacha ujumbe kuwa kuazia leo kila mtu aishi kwake na mimi ninarudi kwetu. wazazi wa binti hawakuchukua hatua yoyote juu ya ujio wa binti yao wa miaka miwili walikaa kimya mume nae akaishi muda wote akisubiri pengine wazazi wangeweza kuchukua hatua ya kuita watoto wale na kushauri kilichotokea hakukuwa na hatua yoyote miaka miwili ilipopita yule mume akaamua kufunga ndoa na mwanamke mwingine miezi michache baadae wazazi wale pamoja na binti wakamtafuta yule mume kutaka suluhu na pengine kumpa talaka mke wa kwanza. kumtaka mume awajibike na malezi ya watoto na matumizi ya mke wa kwanza ambaye bado anaishi kwa wazazi wake. je sheria inasemaje kwenye hili tujaribu kumshauri ndugu yetu huyu? katika kipindi chote hiki mume alikuwa haruhusiwi hata kuona watoto.
1. rekebisha hapo kwenye bluu haileti maana.Okay, kwa hiyo uwe Mkatoliki, Mujahidina, M-Sunni, Mpaganani, Mlokole, M-Shiite na dini ya kienyeji wote kwa sheria moja ya nchi, kabla ya kwenda mahakamani, ni lazima uanze kwenye bodi ya upatanishi!
Kwa hiyo hoja yako ya kumbana mtu ambae hakutaja dini was moot, haikuwa na sababu, haina nguvu, it is useless and meaning kutaja dini yako kwa sababu kila kiumbe, Tanzania, kinachotaka talaka, lazima kianzie bodi ya upatanishi
Utamshauri aende kwenye bodi ya upatanishi ya dini yake. Yeyote ile. Si lazima ujue dini yake.mfano Bakwata. sasa wewe hujui mtu dini gani utamshaur vipi aende Bakwata?
Kaeni chini nyie wanandoa pamoja na wazai wenu myatatue
Utamshauri aende kwenye bodi ya upatanishi ya dini yake. Yeyote ile. Si lazima ujue dini yake.