Sheria inasemaje ukigonga gari kwa nyuma?

Kuna nafasi imewekwa kisheria kati ya gari moja na lingine. Sikumbuki ni mita ngapi, ila nadhani ni mita 20. Sina uhakika.

Kwa maana hiyo ukiligonga gari la mbele yako, ina maana hukuzingatia taratibu na sheria za ile nafasi. Kwa maana hiyo unakuwa una kosa.
Kuna sehemu huwez kuwa 20meters away from gari LA mbele yako km kwenye foleni za DSM, maana utajikuta unachomekewa Kwa mbele yako hadi unabakisha mita 2 kati ya gari na gari,ss tunafanyaje kwenye changamoto km hizo?
 
Ajali itapimwa na askari mwadilifu kisha mpelekwa mahakamani, aliegonga gari kwa nyuma atapigawa faini ya uzembe na uharibifu kisha bima yake itahusika na matengenezo ya gari
Ubarikiwe sana mkuu
 
Yes nafahamu hilo LA kuendesha magari ma3 mkuu,ila kibinaadamu tu huwa kuna wakati viajali vidogo vidogo vinatokea,....nimeuliza maana kuna mshikaji wangu aliigonga BMW X5 ya mtu, akavunja taa zote za BMW na kuiharibu sura yote ya BMW,jamaa alikubali kosa na hv sasa anadaiwa madeni mtaani karibu 3m aliyokopa kutengeneza BMW,ndo maana nikaona niulize,na ile BMW ilikuwa na comprehensive insurance lkn jamaa alikataa katukatu na kutaka gari yake itengenezwe.
insurance Huw qanakuzungusha kinoma mpk wajirithishe ndo wataitengeneza tena qanaqeza kukushauri uitengeneze baadae ndo waje kukulipa garama zako
 
Inategemea na scenario ya ajali kama wa mbele yako ameingia barabara kuu ndio ukamgonga....kama umbali toka alipoingilia hadi ajali ilipotokea ni chini ya mita 25(kama sijakosea) hapo gari ya mbele ina makosa...ila kama zipo zaidi ya hzo gar ya nyuma ina makosa,kama wote mpo njia moja wa nyuma ana makosa.Swala la malipo inatakiwa kulipwa na bima ila mlolongo ni mrefu unahusisha kwenda mahakamani ndio maana wengi tunaona bora kumalizana tu ili kupusha kupoteza muda.(nisahihishwe nilipokosea).
Tufanye kwamba mmeamua kufuata huo mlolongo wote,je mwisho Wa cku bima italipa au mtazugwa?
 
Mpaka Mahakamani baada ya hukumu ndipo Insurance italipa sio otherwise japo kibongo bongo jamaa anakupoza nawe unampoz Trafiki anaandika aliekugonga kakimbia unaenda Bima wnakuandikia upeleke Gari kwa Mchina nae huko anaongeza Gharama za Matengenezo cha juu anampa 'veko' wa Trafiki na Yule Afisa wa Bima then mnamalizana, ni mwendo wa kugawana Umaskini!

Niliwahi kupata ajali nikastukia dili kwa Wachina baada ya kugundua Matengenezo waliyoandika ni karibu Mara mbili ya yake halisi nilikomaa mpaka wakaniachia Kama laki mbili na nusu nami ya kupoza Machungu
Mkuu ww ni balaa,ukakomaa na mchina hadi akakupooza
 
Hiyo ya kulipa ni kama watu tu wameihalalisha lakini ukigongwa kwa nyuma yule aliekugonga ndio mwenye makosa na bima yake ndio inalipa uharibifu uliotokea kwenye gari lakini imekuwa kama sheria mtu akikugonga anakulipa wakati sio
 
Mkuu ww ni balaa,ukakomaa na mchina hadi akakupooza

Na kuna kiasi kidogo unapaswa ulipe pia si kulipa

Gari niliipeleka Mwenyewe kwa kuwa haikuumia sana lakin waliandikia imevutwa na Breakdown, Wachina wahuni balaa
 
Back
Top Bottom