Aposto kuna miujiza huku 😅Wacha dawa iingie. Ukiona mgonjwa homa imekuwa kali ujue ndio uponyaji unakaribia.
Maiti hata umchape viboko hawezi kulalamika.Aposto kuna miujiza huku 😅
katibu mkuu kiongozi ni mtumishi wa umma?Samia sio mtumishi wa umma.
Watumishi wote wa umma wanawajibika kwa KMK.
Samia hawajibiki kwa KMK
Daaaaa we jamaaaaMaiti hata umchape viboko hawezi kulalamika.
Wewe hata huelewi maana ya neno utumishi wa umma,hujui maskini, rudi shuleSamia sio mtumishi wa umma.
Watumishi wote wa umma wanawajibika kwa KMK.
Samia hawajibiki kwa KMK
Shule ipi?Wewe hata huelewi maana ya neno utumishi wa umma,hujui maskini, rudi shule
Wewe unaonaje?katibu mkuu kiongozi ni mtumishi wa umma?
MEMKWAShule ipi?
Ipo wapi?MEMKWA