Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,488
- 15,747
Nimeweza hili jambo na ninataka wenye uelewa waje waseme chochote.
Sitaki fujo kwenye uzi wangu mkuu! Tafadhali nieleweMaajabu ya dunia kuongozwa na mjane ....hiii haijawahi kutokea...
Samia sio mtumishi wa umma.Nimeweza hili jambo na ninataka wenye uelewa waje waseme chochote.
Anawajibika kwa wananchi.Samia sio mtumishi wa umma.
Watumishi wote wa umma wanawajibika kwa KMK.
Samia hawajibiki kwa KMK
Wananchi ambao hawana uwezo wa kumwajibisha. Hii imekaaje?Anawajibika kwa wananchi.
Sio kweli. Wananchi wana jeshi lao JWTZ ndio chombo chao pekee cha kutetea maslahi ya wananchi yanapopindishwa na wanasiasa.Wananchi ambao hawana uwezo wa kumwajibisha. Hii imekaaje?
Rais akiwa mla rushwa. Kwa sheria za Tanzania. Jeshi linawezaje kumwajibisha?Sio kweli. Wananchi wana jeshi lao JWTZ ndio chombo chao pekee cha kutetea maslahi ya wananchi yanapopindishwa na wanasiasa.
Kwa kufanya uhaini kama Lissu. Naamini una D mbili mkuuRais akiwa mla rushwa. Kwa sheria za Tanzania. Jeshi linawezaje kumwajibisha?
Jeshi limetekwa 😀Sio kweli. Wananchi wana jeshi lao JWTZ ndio chombo chao pekee cha kutetea maslahi ya wananchi yanapopindishwa na wanasiasa.
Waajiri wake wananchi wamempa likizo akae eda. Hawana tatizoKwani ni sheria ya taifa teule mtumishi kukaa eda? 😀 Na kama linaruhusiwa tujitafakari
Eda ina ulazima gani kwa mtu ambaye ameshafika monopause?Nimeweza hili jambo na ninataka wenye uelewa waje waseme chochote.
Sasa rais si ndio Amiri Jeshi?Sio kweli. Wananchi wana jeshi lao JWTZ ndio chombo chao pekee cha kutetea maslahi ya wananchi yanapopindishwa na wanasiasa.
Nani kampa hicho cheo kama sio wananchi!Sasa rais si ndio Amiri Jeshi?
Alafu wakitoka apo tozo na VAT ziongezeke hakuna mtu kupiga kelele si mmeruhusu watu wale maisha likizo 😅Waajiri wake wananchi wamempa likizo akae eda. Hawana tatizo
Wacha dawa iingie. Ukiona mgonjwa homa imekuwa kali ujue ndio uponyaji unakaribia.Alafu wakitoka apo tozo na VAT ziongezeke hakuna mtu kupiga kelele si mmeruhusu watu wale maisha likizo 😅