Sheria inasemaje kuhusu mkataa ambao haukufuata sharia ya nchi?

Ossasso

Member
Aug 14, 2015
12
0
Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria.

Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi?

Natanguliza shukrani..
 
ili uitwe mkataba lazima ufuate sheria inawezekana ikawa sheria ya kimataifa au ya nchi ya waingia mkataba.kama kuna makubaliano hayakufuata sheria basi hayo makubaliano si mkataba kwb maana mkataba ni makubaliano yenye nguvu kisheria
 
Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria.

Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi?

Natanguliza shukrani..

Hapa unazungumzia 'mkataa' au 'mkataba'?

Unajua tofauti yake?
 
Back
Top Bottom