Una mpango wa kufa? Una mpango wa kumwua mgombea?
mimi swali langu ni je, mgombea akifa wakati wa kampeini na chama chake kikaruhusiwa kuweka mgombea mwingine, vyama vingine vina ruhusa ya kubadili pia? Kuna chama kinatamani kubadili mgombea ndiyo maana ninauliza.